Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

Kile 'kiungo" kina miiko yake ili ukifurahie. Hata kama ni chako kwa vile umeoa, hakiliwi kwa amri kama za askari.
Ni kweli kabisa kile kiungo hakiliwi kwa "amri" za kiaskari lakini mimi nauliza hivi, mtu anawezaje kukukatalia kuitumia mali yako mwenyewe? Kwanini uwe mtumwa kwenye mali yako? Kwanini unyenyekee mbele ya mali yako kama vile MBWA anavyonyenyekea amwonapo bwana wake ameshika bakuli la nyama?

Mimi sijasema umkamate mkeo kwa nguvu, lakini unapaswa kuanzia mwanzo wa mahusiano yenu ajue kwamba "kile kitu kitamu" ni mali yako na yeye hana AMRI ya kukuzuilia kuila mali yako mwenyewe. Hata MAANDIKO yanafundisha hivyo, "mke hana AMRI juu ya mwili wake mwenyewe, bali mwenye AMRI ni mume".
 
Usipokuwa mkali na mwenye msimamo utadharaulika sana. Na mara zote ukiona mke wa mtu anagawa uroda kwa wanaume wengine kaa ujue tayari keshamdharau mumewe. Lakini akikuogopa na kukuheshimu ataanzia wapi kutoa uroda kwa wengine?
Inatakiwa uwe makali na mwenye msimamo, tena hutakiwi kubembeleza, mali yako mwenyewe unaibembeleza? Huko kubembeleza bembeleza ndiyo kunasababisha tunadharaulika. Ile kitu ni mali yetu hata maandiko yamesema. Anza kumuonesha mkeo kuwa hiyo kitu anayoringia siyo yake, bali ni mali yako na unaitumia wakati wowote ukitaka na mahali popote pale ukijisikia. She is your wife and she is obliged to be submissive to you.

sawa sometimes unatakiwa uwe mkali na mwenye msimamo ila sio always iwe ivo ad kwa mambo yasiy n umuhim utamkosesha mke aman na ndoa
 
Wanapojiita kichw halafu majukumu yote mke ndo anatekeleza unategemea watt hawatamuona mwanamke kichwa?!
 
Je wewe mume unamtii kristo ambaye ni kichwa cha kanisa? Kama imekuwa ngumu kwako kufuata maagizo ya kichwa chako kristo kwa nini unadhani ni rahisi kwa mke kukutii kama kichwa chake?mpende Mungu wako na kusimamia maneno yake uone kama utatumia nguvu kwenye ndoa yako.
Word,niliktaka niongee hv,nashukutu umeongea
 
sawa sometimes unatakiwa uwe mkali na mwenye msimamo ila sio always iwe ivo ad kwa mambo yasiy n umuhim utamkosesha mke aman na ndoa
Ndio maana nimeandika unapaswa kuwa "mkali kiasi". Sijasema mume akae na mke kama vile kuna ugomvi, nimesema mume na aishi na mkewe kwa "akili".
 
Je wewe mume unamtii kristo ambaye ni kichwa cha kanisa? Kama imekuwa ngumu kwako kufuata maagizo ya kichwa chako kristo kwa nini unadhani ni rahisi kwa mke kukutii kama kichwa chake?mpende Mungu wako na kusimamia maneno yake uone kama utatumia nguvu kwenye ndoa yako.
Thread closed.
 
Ni kitu kizuri saana......

Maana umetukumbusha wajibu wetu na huo ndio ukweli wenyewe....

Lakini kwakua binadamu ana asili ya ubishi, na watakuja kubisha tu.....

Ila inapendeza kuona kua bado wanaume wenye misimamo yetu bado tupu...
 
Pamoja sana mkuu. Mfumo dume haujapata niangusha ktk mahusiano yangu.
 
Usipokuwa mkali na mwenye msimamo utadharaulika sana. Na mara zote ukiona mke wa mtu anagawa uroda kwa wanaume wengine kaa ujue tayari keshamdharau mumewe. Lakini akikuogopa na kukuheshimu ataanzia wapi kutoa uroda kwa wengine?
Inatakiwa uwe makali na mwenye msimamo, tena hutakiwi kubembeleza, mali yako mwenyewe unaibembeleza? Huko kubembeleza bembeleza ndiyo kunasababisha tunadharaulika. Ile kitu ni mali yetu hata maandiko yamesema. Anza kumuonesha mkeo kuwa hiyo kitu anayoringia siyo yake, bali ni mali yako na unaitumia wakati wowote ukitaka na mahali popote pale ukijisikia. She is your wife and she is obliged to be submissive to you.
A kili hii ndio inawafanya muwapige risasi wake zenu!

Yaani umekazana Mali yako hana amri nayo!
Hivyo ndio kuishi kwa akili kweli na wanawake!?

Yaani Mali yako eti! umemnunua au umeshea hisa!?

Mnaijua hiyo mistari tuuu ee?
Ile adhabu yenu ya kula epo IPO au mmeikacha?
Kama wewe mwema omba tu upate mke mwema basi! Ukali hautasaidia ! Kama mkeya Polisi au MJESHI aeza ibwa itakuwa wewe bwana!

Baraka za BWANA hazigombewi ,wala hazishikiwi Fimbo!

Mwisho WA siku kila MTU atauchikua mzigo wake mwenyewe!

Mtaaarabu hata Mali yake husema NAOMBA,
hata nyumbani kwake husema HODIIII!

ILA MWENYE KIBURI HUIBEBA HUZUNI!
 
Ndugu yangu kaa ufahamu mwanamke aliumbwa ili amilikiwe na atawaliwe, tena maandiko yameandika siyo mimi. Wewe kama umechagua kuwa omba omba kwenye mali yako mwenyewe shauri yako.
Isitoshe mimi nimeandika zaidi sana namna ambayo MUME anapaswa kusimama kama KICHWA cha MKE na familia yake. Hiyo sehemu ya kula tunda ni pamoja na hayo tu, lakini lengo ni MUME kujua wajibu, nafasi, na mamlaka aliyonayo.
 
Kaa kimya dogo
Mbona kama una "hasira" hivi? Au na wewe ni mmoja wao wanaokuwa kama MBWA mbele ya wake zao? Acha ujinga wa "kumnyenyekea" mwanamke, MUNGU alikuumba wewe umtawale mwanamke tena akunyenyekee na tamaa yake iwe juu yako. Simama kama MWANAUME na utaheshimika, acha kuwa mtumwa mbele kwa mkeo.
 
Ni kitu kizuri saana......

Maana umetukumbusha wajibu wetu na huo ndio ukweli wenyewe....

Lakini kwakua binadamu ana asili ya ubishi, na watakuja kubisha tu.....

Ila inapendeza kuona kua bado wanaume wenye misimamo yetu bado tupu...
Kweli kabisa Tatigha , watu wakiambiwa ukweli na ukiwagusa wanaanza ubishi na vijisababu kibao visivyokuwa na maana. Imefika mahali Wanaume tubadilike sasa na tuishi kama inavyotakiwa.
 
Naunga mkono hoja ndugu, mimi kama kichwa cha huyu mwanamama nasema familia yangu tutalitekeleza [emoji3]

Naomba hii kampeni iendelee mpaka wajue sasa ndoa ni nini.
 
Back
Top Bottom