Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Ndoa nyingi zinayumba sababu wanaume wengi hatujitambui wala hatujui mamlaka tuliyopewa na MUNGU kwenye Serikali ya ndoa. Tumejiachia sana na kujishusha chini sana kiasi hivi sasa wanawake wanatutawala na kutukalia vichwani. Matokeo yake ndoa zinavunjika sababu tu sisi wanaume hatukukaa sawa kama WANAUME tangu pale tunapoanzisha mahusiano na wanawake.
BWANA MUNGU alisema "Mume" atamtawala "Mkewe" MWANZO 3:16
Tena Mtume Paulo akaandika hivi; "Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni MUNGU". 1 WAKORINTHO 11:3
Mtume Paulo akaandika tena; "Enyi wanawake watiini waume zenu kama kumtii BWANA wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa; naye ni mwokozi wa mwili". WAEFESO 5:22-23 WAKOLOSAI 3:18 1 PETRO 3:1-6.
Ukisoma vifungu vyote hivyo utaona ni jinsi gani "Mke" analazimika kumtii na kumheshimu "Mumewe" katika kila jambo.
Pia kumbuka kuwa Mtume Paulo alisema kuwa wanaume mnatakiwa kuishi na wake zenu kwa "akili" na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu........ 1 PETRO 3:7
Kuishi kwa akili maana yake ni kwamba unatakiwa kumwonyesha tangu mwanzo wa ndoa yenu kuwa wewe ni MWANAUME na wewe ni KICHWA tena siyo cha familia tu bali wewe ni KICHWA chake yeye kama mwanamke. Unapaswa kumwonyesha "mkeo" mapema sana kuwa wewe siyo kama yeye. Wanawake wengi sana huwa wanafikiri wao wako juu ya waume zao, huwa wanafikiri wao ndiyo wenye maamuzi ndani ya familia. Hapa ndipo wanaume wengi huwa tunakosea, tunawaachia wake zetu maamuzi ya kila kitu. Kila wakisema kitu, tunaitikia... "sawa baby"... Inafika mahali "mke" akiseama kitu sisi tunanyamza kimya, wakati sivyo hivyo, inatakiwa MUME akisema kitu MKE anyamaze kabisa tena kwa adabu na utii. Hebu nikuulize swali, KRISTO ni kichwa cha kanisa, Je! Kristo akisema kitu kuna mtu atasimama na kubisha?? Sasa kwanini Mwanaume ambaye ndiye KICHWA cha mwanamke, akisema kitu mwanake anasimama na kuinua mdomo juu?? Kuna shida hapa tena shida kubwa. Lakini kwa BWANA WETU MESSIAH yote yanawezekana.
Wanaume tunatakiwa kubadilika, kuanzia leo anza kuishi na mkeo naye kama MUME kweli kweli. Kuwa na msimamo dhabiti, kuwa SERIOUS. Sisemi umpige mangumi; hapana, usimpige, lakina uwe na msimamo na udhibiti na UKALI KIASI. Wanawake huwa na tabia ya kuwaogopa na kuwaheshimu wanaume wenye msimamo dhabiti. Nikisema msimamo dhabiti naamanisha kuwa ukiamua jambo, basi ni lazima lifanyike; anataka au hataki ni lazima lifanyike. Kuwa mkali kiasi. Siyo akianza kulia lia na kununa, unaanza tena kumbembeleza. Usimbembeleze hata siku moja, shikilia msimamo wako, mwache alie, anune, akasirike, asusie chakula, asusie tendo la ndoa; wewe usibabaike, shikilia msimamo wako. Hata kama atalia wiki nzima, wewe shikilia msimamo huo huo, ukifanya hivyo ataelewa kuwa wewe ni Mwanaume mwenye msimamo na kuanzia hapo ataanza kukuheshimu na kukubaliana na wewe, hata kama itachukua muda yeye kukuelewa lakini lazima tu atakuelewa. Wanawake ni wajanja sana katika kuwasoma waume zao udhaifu wao na wana misimamo gani. Akigundua tu unamnyenyekea na kumpapatikia, atakutesa sana. MPENDE mkeo lakini USIMNYENYEKEE hata siku moja wala usimuhusudu kupita kiasi. Kuna tofauti kubwa sana ya KUPENDA na KUNYENYEKEA. Umeshawahi kumwona MBWA anapokuwa mbele ya bwana wake?? MBWA humnyenyekea bwana wake, na sisi wanaume wengi tuna tabia kama za mbwa kuwanyenyekea wake zetu; ndiyo maana wanatudharau sana, tena sana. Tunawanyenyekea kwa sababu ya kile "kiungo" kilichopo katikati ya miguu yao, kama vile MBWA anavyomnyenyekea bwana wake sababu ya chakula. Jifunze kutokumnyenyekea mwanamke na atakuheshimu na kukuogopa. Kile kiungo kitamu kilichopo katikati ya miguu yake ni "mali" yako, sababu "umemwoa" na wewe ndiyo KICHWA chake. Muoneshe wazi kabisa hicho "kiungo" ni mali yako, tena unaimiliki na una maamuzi ya kuitumia utakavyo. Mtu yoyote akitaka kuitumia mali yake haombi wala habembelezi, anaitumia atakavyo, mali yako ni haki yako kuitumia. Mke hana AMRI juu ya mwili wake, bali mwenye AMRI ni mume. Soma 1 WAKORINTHO 7:3-6.
Wanaume tubadilike na tusimame imara kwenye ndoa zetu. Tuwatunze watoto wetu vizuri, TUWAPENDE wake zetu na zaidi ya yote TUWAMILIKI na KUWATAWALA wake zetu kama vile KICHWA kinavyoumiliki mwili na kuutawala.