Wanaume walio-oa wadada wanao-omba pesa mara kwa mara, waje hapa kuleta mrejesho

Aisee
tatizo amjatuelewa mpaka leo ipo ivi ukiona unaombwa sana hela na mwanamke ujue akupendi kbs iyo ni kama tiketi ya kujiondoa mwenyew ila tunapopenda wala hatuombi ata senti mpaka tupewe wenyewe na maisha yanaenda fresh
 
Ina maana humu hakuna hata mhanga mmoja, mbona sioni mrejesho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom