[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]eve weweKuna kaugumu fulani hivi, sie tukienda home tunashinda kwa mama ila kulala tunaenda kwa dada, hata mi sijui kwanini.
Umeita wanaume sorry nmekuja kumuwakilisha mwamaume wangu .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa weweSidhani kama kukaa ukweli kwa siku zote hzo ni jambo zuri. Ukweni ni sehemu ya kukaa siku moja mbili ya tatu unaondoka. Imagine wazazi wanapata picha gani pale unapowatakia usiku mwema? wanajua daaah!! jamaa linaenda kumuumiza binti yetu. si picha nzuri kwakweli. Tusikae sana ukweni
Mada fikirishi sana hii. Mimi nina miaka 16 ya ndoa na sijawahi kulala ukweni hata kwa siku moja. Sijawahi kukatazwa ila naamini sitakuwa na amani... Japo ukweni kuna chumba cha kulala wageni ... mimi huwa nalala lodge ya karibu.
Asubuhi nawahi kifungua kunywa... napiga stori kidogo then nasepa kitaa... mchana nakuja kugonga lunch na story nyingi then nasepa. Usiku nakuja kugonga dinner.... story nyingi sana then naenda zangu lodge kulala.... wife analala kwao. (Angalizo sitafuti mchepuko)
Maximum kukaa ukweni ni siku tatu kama kuna msiba wa karibu sana. Kusalimia.... nikifika leo keshokutwa mapema sana kabla jogoo hajawika mi huyoooo nshasepa zangu. Wife tutakutana mbele ya safari au jijini Daslam
Mpaka sasa sijajua kwanini....
Hata mm hua najiuliza ni kwa nini inakua ngumu kulala ukweni ingawa sioni tatizo..Mada fikirishi sana hii. Mimi nina miaka 16 ya ndoa na sijawahi kulala ukweni hata kwa siku moja. Sijawahi kukatazwa ila naamini sitakuwa na amani... Japo ukweni kuna chumba cha kulala wageni ... mimi huwa nalala lodge ya karibu.
Asubuhi nawahi kifungua kunywa... napiga stori kidogo then nasepa kitaa... mchana nakuja kugonga lunch na story nyingi then nasepa. Usiku nakuja kugonga dinner.... story nyingi sana then naenda zangu lodge kulala.... wife analala kwao. (Angalizo sitafuti mchepuko)
Maximum kukaa ukweni ni siku tatu kama kuna msiba wa karibu sana. Kusalimia.... nikifika leo keshokutwa mapema sana kabla jogoo hajawika mi huyoooo nshasepa zangu. Wife tutakutana mbele ya safari au jijini Daslam
Mpaka sasa sijajua kwanini....
Hahahhaah hizo jeuri za kabila fulani hivi!Nitakaa kama Nyumba hiyo nimejenga mimi