Kwa mara nyingine tena nimekutana na lile sakata. Safari hii ni la binti mrembo kabisa wa Kiafrika. Ana kila kitu ambacho kingemvutia mwanaume yoyote rijali. Baada ya kuona yuko karibu sana na binti wa Kizungu aliyekuwa akimkumbatia mara kwa mara kwa ukaribu wa hali ya juu wakati wa kucheza mziki nikahisi labda na yeye ni wale wale. Lakini nikajibishia moyoni kwa matumaini kuwa haiwezekani hasa ukizingatia kuwa hakuwa na dalili zozote - alikuwa amevaa kisichana kabisa, amechana nywele zake vizuri mno kwa staili ya yule mwanamama Angela Davis wa enzi zile za Afro na alionyesha kuvutiwa na mchombezo wangu. Ili kujihahikikishia kuwa siingii mkenge tena nikamchomekea swali hili: Inaonekana wewe na huyu dada ni marafiki sana? Akanijibu kwa kifupi: Akchwale huyo ni rafiki yangu wa kike! Salale, nikajisemea moyoni kwa uchungu, kweli wanaume tumekwisha duniani!
Ye kazubaa kule hajafanya kitu, kaja lalamika...eti sisi tumezubaa.Sijakuelewa kaka......tumekwisha nini sasa hapo??????
Mboga imeungua unalaumu kisu vipi hapa??????
ungeomba 3some...
siku hizi dunia imebadilika,na taste nazo zimebadilika.....
wee ungemtokea tu labda yuko kote kote,mie huwaga sielewi kitu kimoja,wale ma lesbian ambao huwa ndio 'madume' utamu wanautoa wapi? au na wenyewe wananyonywa?.......:eyebrows::eyebrows::shock::shock:
hahha boss mie nakupa ofa na rafiki yako yoyote wa kiume....lol
Sijakuelewa kaka......tumekwisha nini sasa hapo??????
Mboga imeungua unalaumu kisu vipi hapa??????
Hujaelewa nini? Kama tupo kwa nini wanachukuana wenyewe kwa wenyewe?
Aisay inawezekana lakini mbona mimi sikutani nao :biggrin:usikimbie lawama na majukumu, wote tumezubaa ndio maana wameishia kuwa hivyo
Yerewiiiiii, kwetu Tanga tumezoea kuona wanaume wana mabwana, hoyo ya mwanamke kuwa na demu sidhani kama imeingia Tz
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili kati ya mwaka 2009 na Septemba 2010 unaonyesha, asilimia 47.05 ya wanaume wanaokwenda kupima afya zao za uzazi, hawana uwezo wa kutungisha mimba.Malengo ya utafiti huo uliosimamiwa na Dk Henry Mwakyoma, yalikuwa ni kubaini ni kwa kiasi gani wanaume huweza kuathiriwa katika via vyao vya uzazi na hatimaye kushindwa kutungisha mimba.
Utafiti huo ulionyesha kati ya wanaume 221 waliopimwa, asilimia 30.03 walikuwa na mbegu dhaifu na asilimia 17.02 walikuwa hawana kabisa mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba, zaidi ya maji tu.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, Dk Mwakyoma alisema, ugumba kwa wanaume limekuwa tatizo sugu katika miaka ya hivi karibuni.
Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba[/TD]
[/TR]
[/TABLE]