jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,891
- 12,138
nature ya miili yao kazi zao n.k
Yap na KIKAZI wako fit, waulize wake zao, viungo VYOTE vya miili yao si mchezo...
nature ya miili yao kazi zao n.k
Sasa wakiwa wanakula sana sipatii picha nahuko kujamba
wee Hunyu, Kwa sababu ya kula tuu, ndo utajitenga !!?!! Wabheja... basi tutakuachia chakula chote na shamba la bibi pia!Najivunia kuwa msukuma. Mpaka sasa kabila la wasukuma tuko mikoa minne na nusu. Mwanza, shinyanga, Geita, Simiyu, na Tabora nusu. Karibu tutajitenga na kiTz chenu
wee Hunyu, Kwa sababu ya kula tuu, ndo utajitenga !!?!! Wabheja... basi tutakuachia chakula chote na shamba la bibi pia!
Wee Hunyu na Ng'ombe sizenu na maziwa,nyama na ngozi ya ng'ombe yote zenu ?!! Sasa madini mnayatakia nini? waachieni waibe tu !!!Sio kula tu, ila tumechoka kuibiwa madini yetu huku si tukibaki masikini tunachunga ng'ombe tu.
Sidhani kama kuna kabila hapa bongo ambalo wanaume wake wanakula kama hawa jamaa.
Kwahiyo kula kwetu kumekukera mpaka umeamua kutuanzishia thread hee! Mwanaume lazima ule bhana acheni hizo kabisa Nalemagha.
nature ya miili yao kazi zao n.k
mkuu ulichoandika hapo ni ukweli 100%Wewe utakuwa unatoka kwenye vijikabila vya watu wachoyo wanaothamini vyakula kama ndio msingi wa utajiri. Wehu.
Nahisi kijikabila chako ni cha watu wambeya, wanaume na wanawake kazi zao ni kusemana semana vijimaneno vya kijinga kijinga.
Nimepata picha namna gani wanaume wakwenu wanavyoishi kwa vijicho, wivu, maneno na si kazi.
Ninaona upande wa pili kwamba elimu yako ni ya chini sana na general knowledge yako iko duni sana.
UNGEBAHATIKA KUKAA USUKUMANI BILA SHAKA UNGEELEWA NI NAMNA GANI WATU HAWA NI WAKARIMU WA KWELI NA HAWANA UNAFIKI. KWA MSUKUMA CHAKULA NI MA..VI. HAKUNA MSUKUMA ANASEMAGA WATU KULA SANA. NI UPUMBAVU UNAOWAPELEKEA.
FAHAMU KWAMBA WASUKUMA NI WACHAPA KAZI HODARI. KAZI ZAO NYINGI WANAZIFANYA KWA MIKONO NA NGUVU NYINGI, TECHNOLOJIA KIDOGO. HUONI MIILI YAO ILIVYO?
NENDA KAPATE ELIMU KIDOGO YA NUTRITIONAL DIETARY ALLOWANCES, FOOD SCIENCE, BIOCHEMISTRY OF FOOD, BODY METABOLISM
Yap na KIKAZI wako fit, waulize wake zao, viungo VYOTE vya miili yao si mchezo...