Wanaume wakarimu na wanaowasikiliza wake zao

Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.

10991381_940975045921161_3618729569233320318_n.png

SOURCE:BBC

Curiosity from me:Je we kidume mwenzangu jiangalie vya kwako vimekaaje na tabia yako kwa mkeo/girl friend wako ikoje ?utoaji hela kuhudumia au kuhonga wako ukoje?hua unaridhika 100% au una nuna ndani kwa ndani?
Aya naomba majibu.

NB:wanawake wote nawapa homework wachunguze vidume vyako vyote mwenye vidole kama walivyotaja hapo BBC mng'ang'anie.

Mwanaume unawez mtambua kwa kuangalia urefu wa vidole vyao, kidole cha nne kinatakiwa kuwa kirefu kuliko cha pili kwa wanawake vidole huwa vinalingana.
Madaktari wazoefu wanawez prove hili. So huu utafiti sidhani kama upo sahihi.
 
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.

10991381_940975045921161_3618729569233320318_n.png

SOURCE:BBC

Curiosity from me:Je we kidume mwenzangu jiangalie vya kwako vimekaaje na tabia yako kwa mkeo/girl friend wako ikoje ?utoaji hela kuhudumia au kuhonga wako ukoje?hua unaridhika 100% au una nuna ndani kwa ndani?
Aya naomba majibu.

NB:wanawake wote nawapa homework wachunguze vidume vyako vyote mwenye vidole kama walivyotaja hapo BBC mng'ang'anie.

Kuna ukweli ndani Yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom