mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.
SOURCE:BBC
Curiosity from me:Je we kidume mwenzangu jiangalie vya kwako vimekaaje na tabia yako kwa mkeo/girl friend wako ikoje ?utoaji hela kuhudumia au kuhonga wako ukoje?hua unaridhika 100% au una nuna ndani kwa ndani?
Aya naomba majibu.
NB:wanawake wote nawapa homework wachunguze vidume vyako vyote mwenye vidole kama walivyotaja hapo BBC mng'ang'anie.