Wanaume 'wagumu' ndio wenye mapenzi ya kweli

hahaha maumivu yakizidi muone daktari
mimi tangu kitambo nilishaona wagumu ndo tutaendana nao na kuelewana, hawa mablazamen tutasumbuana na kushindwana tu mwisho.
 
halafu wengi tuko huku kanda ya ziwa, ukweli nawaambieni...
 
wewe sio mke wangu kweli umejificha humu? naona kama unanisema mimi...maana leo umenitumia msg ukinipongeza kwa aniversally yetu ya 14yrs nawe..
 
Nimegundua wanaume wenye sura ya kawaida na uvaaji wa stara kama vile suruali na mkanda na Tai wanapenda kweli na wana maamuzi ya kiume ni wa kweli hawana longolongo.

Tofauti na hawa tunaoshea nao vipodozi ni shiida kwa kweli huyu hata akija adui anaweza kujificha hata uvunguni.
Sema tu umenasa kwa mzee mstaafu na pesa za msimu unamuona anafaa,ngoja zimuishie kwa kununua Rav4 na viwanja viwili.utatufata tu tena
 
Back
Top Bottom