Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,505
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Vyuma,Mipini,Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii.
Wengi wanalalamika mitandao haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi.
Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti.
Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora.