Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Vyuma,Mipini,Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii.

Wengi wanalalamika mitandao haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi.

Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti.

Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora.
 
Taifa liko huru tangu 1961.Mashoga na mawakala wa mabeberu hawana chao kesho. Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Taifa liko huru tangu 1961.Mashoga na mawakala wa mabeberu hawana chao kesho. Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu.
Mimi naweka tamko rasmi la wizara ya mambo ya nje likitetea na kuwalinda mashoga Tanzania. Na wewe nope bandiko moja la Tundu Lissu likitetea ushoga .
 
Kuna watu wanapoamkia wao wewe ndo ulilalia na ukaota ndoto na zikatimia.

Haki ya nani siendi Zimbabwe hataa kwanza Mugabe alisha dedi kitambo.
 
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...

Wengi wanalalamika mitandano haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi

Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti

Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora
Pamoja mkuu
 
Hapa ile ripoti ya TWAWEZA kuwa ccm inapendwa na wajinga inadhihirika vema, mataga wamepotea humu hawaonekani.
Weusi Wagumu Asilia, Wabishi, Watukutu, Wajuba aka Wakulu Kumwao. Ndio tunaelea elea mawinguni namna hii...

Wengi wanalalamika mitandano haipatikani. Sisi Wakulungwa tunapasua anga tu toka sehemu mbalimbali za Dunia. Tutawaletea habari za Tanzania hapa hapa JF. Mtazikuta siku Mkirudi msiwe na wasi

Hakuna kulala kuanzia muda huu tunazungusha dish kila sehemu kukamata matukio. Usawa tunaotega ni ule tunaopata bandwith kwa asilimia jiti

Tunapiga chini, tunapiga juu. Tunapiga kushoto ,tunapiga kulia. Kisha tunapiga mbele na tunapiga nyuma. Yaani hakuna kulala na kulaza bakora
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom