Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Shilingi ngapi tuandae!?
Sasa wewe si unava vya kwake. Ngoma suluhuHellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Heeee🙃Sasa wewe si unava vya kwake. Ngoma suluhu
Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Mbona sikujui kaka angukwa hiyo hizo boxer ulizokuwa umeniletea na ile perfum unampelekea nani siungeuliza huyu ni nani kuliko kuondoka na kuja kunihukumu huku bila kunipa nafasi ya kujitetea mai.....yule ni mdogo wangu yaani mtoto wa shangazi binamu yangu wala sikuwa na nia mbaya na alifanya vile kujua utareact vipi
Na anaelekea kwenye sakata jingine, inawezekana akaingia kwa hasira na kupata majuto zaidi. She needs a very psychological adviceHapo sitii neno ila jitahidi kutulia ukiwa kwenye hii Hali ya uchungu usije kutumbukia kwenye sakata lingine.
This kills soo much😭😭Na anaelekea kwenye sakata jingine, inawezekana akaingia kwa hasira na kupata majuto zaidi. She needs a very psychological advice
Eeh kumbe umeshaoa mkuu na unataka kuongeza mchepuko?😆 Embu mtupe nafasi sisi masingle tupate wakushare nao maisha 😄😄
Haha wenye nguvu za kutosha wacha tujiongeze mkuu.Wachuchu wapo wengi sana, kila mwanaume anaweza miliki hata watatu...
Kumbuka idadi ya machoko imekuwa kubwa, inabidi kuwasitiri wachuchu...
This kills soo much😭😭
KaribuMay I pay you a visit privately?
Kama wewe ulivyomkataa yule aliyekupenda.tunakuww tunawapenda wasio fungu letu