Wanaume wabambikizwa watoto

Wanaume wabambikizwa watoto

Asamwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
3,806
Reaction score
2,581
Mkemia mkuu wa Serikali amesema zaidi ya asilimia 48 ya wanaume waliojitokeza kupima vipimo vya DNA wamegundulika kubambikizwa watoto!

Takwimu hizi ni majibu ya vipimo vilivyochukuliwa miaka 3, kuanzia 2010.

Swali la kuliuliza ni: Je, wanaume wa siku hizi hawana uwezo wa kuzalisha au wanawake hawajatulia?!
 
hata hao watoto wa kubambiza wamezalishwa na wanaume wa siku hizo....
ZUNGUMZIA UAMINIFU NA USALITI" usichanganye habari
 
Hii taarifa mbona kama ishawahi tamkwa...au hii takwimu ni mpya?
 
Mkemia mkuu wa Serikali amesema zaidi ya asilimia 48 ya wanaume waliojitokeza kupima vipimo vya DNA wamegundulika kubambikizwa watoto!

Takwimu hizi ni majibu ya vipimo vilivyochukuliwa miaka 3, kuanzia 2010.

Swali la kuliuliza ni: Je, wanaume wa siku hizi hawana uwezo wa kuzalisha au wanawake hawajatulia?!

Napinga sana ofisi ya mkemia mkuu kutoa taarifa hii kwa sababu walichofanya ni DNA tests kwa watoto ambao tayari wazazi wao wana mashaka nao, hii sio haki kabisa kama wangetaka kufanya research wangeingia kwenye jamii na kufanya random sampling hapo wangepata majibu sahihi.
 
Tena waliozaliwa Muhimbili nadhani ni rahisi sana kufanyika makosa ya aina hii.
 
By Asamwa

Mkemia mkuu wa Serikali amesema zaidi ya asilimia 48 ya wanaume waliojitokeza kupima vipimo vya DNA wamegundulika kubambikizwa watoto!
Takwimu hizi ni majibu ya vipimo vilivyochukuliwa miaka 3, kuanzia 2010.
Swali la kuliuliza ni: Je, wanaume wa siku hizi hawana uwezo wa kuzalisha au wanawake hawajatulia?!

Napinga sana ofisi ya mkemia mkuu kutoa taarifa hii kwa sababu walichofanya ni DNA tests kwa watoto ambao tayari wazazi wao wana mashaka nao, hii sio haki kabisa kama wangetaka kufanya research wangeingia kwenye jamii na kufanya random sampling hapo wangepata majibu sahihi.

Likasu,Nadhani huna sababu za kupinga taarifa za Mkemia mkuu wa Serikali kuhusu hiyo taarifa,.Taarifa inajieleza wazi kua kwa wanaume wale waliopima DNA tu kwa miaka 3 mfululizo,48% wamegundulika kua wamebambikizwa watoto,hiyo taarifa haijumuishi wasiopima mkuu..Usichanganye mambo,kila taarifa itatolewa kulingana na mchakato wake:Hiyo research ya jumla unayoizungumzia itafanywa kwa stili yeke,muda wake na bajeti yake,ila kwa hili la watu waliojitokeza kwa hiari yao kupima DNA kwa kipindi hicho cha miaka 3 taarifa ndo hiyo.
 
ni kweli kabisa wanawake walioko katika ndoa walio zaa nje ya ndoa siyo waaminifu pia wanaume wa nje waliozaa na wanawake walio ndani ya ndoa siyo waaminifu . kwa ujumla wanawake na wanaume walioko ndani ya ndoa na walioko nje ya ndoa siyo waaminifu kabisa.mwanaume shuja na mwanamke shujaa ni yule aliyemwanifu katika ndoa lakini kwa bahati mbaya wanaume na wanawake mashujaa ni wachache sana.mimi ni moja ya wanaume shujaa kabisa ni mwaminifu katika ndoa yangu
 
Back
Top Bottom