Wanaume wa wapi Hawa?

Mbona hao ni wa pale kimara tembo upande wa kulia unapoelekea kimara bucher, lkn sijui ni mkoa gani hapa Tanganyika
 
Ningekuwa Nchemba wanaume wa aina hii wangepotea tu kimya kimya na nchi ingeondoa laana ya kukosa mvua.
 
Wanaume wa kwenye Picha hao. Hata huko Dar sidhani kama wapo wa aina hiyo.
Wapo dar mkuu hao, si yule mmoja mlimhoji kupitia tv ya fiesta majuzi anaitwa jina linafanana na Mungu ila kwa kizungu.Au sio wa Dar huyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…