Wanaume wa wapi Hawa?

sijui ni makengeza yangu. kuna mmoja namfananisha na commedian mpenda kuvaa uhusika wa kike kike!
 
sijui ni makengeza yangu. kuna mmoja namfananisha na commedian mpenda kuvaa uhusika wa kike kike! naipa nguvu hoja yangu maana movie nyingi za hapa kwetu hawana maudhui mapya, huionesha hadhira maisha yao halisi. wachambuzi wa tasnia hii saidia ujuvi wenu
 
Wengi hawajui maana ya neno wanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar ni neno linalotumika kumaanisha wanaume wasiyo na nguvu za kiume,na siyo mashoga.
Mnakosea sana kusema maana ya neno wanaume wa Dar ni mashoga.
Mnaidhalilisha sana Dar.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…