grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
Wenyewe hawataki wakali Kama Pilipili! [emoji40][emoji40][emoji40]Mkuu unauliza wakati jibu unalo
Nilikua Sina uhakika mkuu, so nime-prove now!Obviously ni wanaume wa Dar. Unauliza majibu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa sababu ukweli unauma siku zotWenyewe hawataki wakali Kama Pilipili! [emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23] itakua kule kwa Mr Po! [emoji124][emoji124][emoji124]Maeneo ya kiwarani, gongo la mboto, mbagala, kigamboni, temeke etc haya maeneo sijui yapo mkoa gan?
[emoji23][emoji23][emoji23] so ile takwimu ya 4:1 sio applicable hapa!Wote wanne ni vichaa.
Dar moja hiyo..
unajifanya kuwa wewe sio wa dar??[emoji13] [emoji13]Japo mimi si mwanaume wa Dar lakini kwa hili nawatetea hawa sio wanaume wa Dar hawa wamarekani weusi au wasouth