Wanaume wa sasa hivi mnazingua sana!

Wanaume wa sasa hivi mnazingua sana!

Mwanaume Unaogeaje Sabuni za dove,Family,Imperial Unataka uwe na ngozi nyororo ili iweje ?Mwanaume unatakiwa uogee gwanji ukikosa ogea StealWire ,kujipaka jipake mafuta ya kula ukikosa paka Jumbo.
 
Eeeh! Mwanaume kwanza hutakiwi kula, mambo ya kula ni ya wanawake na wamama
Inasikitisha... sana mwanaume kuwa na kitambi.... hata Isaya anawapa onyo kwenye maandiko matakatifu...
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Mwanaume Unaogeaje Sabuni za dove,Family,Imperial Unataka uwe na ngozi nyororo ili iweje ?Mwanaume unatakiwa uogee gwanji ukikosa ogea StealWire ,kujipaka jipake mafuta ya kula ukikosa paka Jumbo.
Mafuta ya kula.... umenena vyema mkuu¡
 
Back
Top Bottom