Wanaume wa sasa hivi mnazingua sana!

Wanaume wa sasa hivi mnazingua sana!

Mwanaume ni kwenda kichakani kujisaidia na kujichambia(kujitawazia) guzi 😁
 
Mtoto wa kiume hatakiwa hata kuoga kwanza, wa kiume ujiviringisha kwenye michangaz unajitikisa kama mbwa jike unasepa
Mwanaume unalalaje kwenye godoro?.
Mwanaume anatakiwa atandike mkeka chini na shuka ni ngumi yako.
 
Ipo siku mtatuuliza,

''Mwanaume unakunywa Chai na Boflo?
Mwanaume anatakiwa anywe Supu ya Simenti na kipande cha Tofali''
 
Duu tulikofika nikubaya sanaa.yaan mtt wakiume anamlalamikiaa mumewe kutokufuga ndevuu duuu
 
Uanaume.... ni kazi inatakiwa tuwe tunalipwa hata kwa mwezi......
 
Uanaume sio muonekano ni tabia
unaweza kufuga uchebe na kuwa baunsa bado ukawa sio mwanaume

Sijui kama umenielewa!
 
Back
Top Bottom