Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 155
- 340
Mwanaume hataki ndevu kila saa nikunyoa.wanaume wa saiv wanakimbizana na mambo ya kike hatasiwaelewi.mara wale chipsi ilhal mwanaume anafaa ale ugal wa maharage ama ale mhogo na maji.
Ikiwa unaona elimu ni ghaliMwanaume hataki ndevu kila saa nikunyoa.wanaume wa saiv wanakimbizana na mambo ya kike hatasiwaelewi.mara wale chipsi ilhal mwanaume anafaa ale ugal wa maharage ama ale mhogo na maji.
Nina madevu kama ayatollah nitakuwaje wa kike sura yenyewe ya kinyameraFemale Jackson...
Vip babu mie mwenyewe na miaka za kutosha nitakuwaje dogo babu!Wavulana wanashauri wanaume
Kwamba hupendi wanaume wa siku hizi kunyoa ndevu?Mwanaume hataki ndevu kila saa nikunyoa.wanaume wa saiv wanakimbizana na mambo ya kike hatasiwaelewi.mara wale chipsi ilhal mwanaume anafaa ale ugal wa maharage ama ale mhogo na maji.
Nyamera hapa sio dada babu!sawa dada tumekusikia.!
Kaa chini sasa
Huyu mleta mada anafikirisha sanaKwamba hupendi wanaume wa siku hizi kunyoa ndevu?
So unapenda kuona mwanaume mwenye ndevu!
Hata uandishi tu unaonyesha kalainika.Huyu mleta mada anafikirisha sana