We jamaa ni mzishi sannaaaaaa!! Huo mchezo hauangalii watu wa pwani wala wawapi, ni utashi tu wa mtu mwenyewe, angalia mm nilikaa arusha, moshi na ht dodoma, huu mchezo upo, angalia baadhi ya wanafunzi wanaotoka mkoa fulani kaskazini, wengiwao wanaupenda huu mchezo na wala hawatoki pwani na wanaowafanyia ni wanaume wa hukohuko kaskazini,
Ila huu mchezo asili yake ni wataliano na sio waarabu km wengi wanavyodhania