Nasikia wanaume wa pwani wengi wanapenda kuwafanyia kitu mbaya wake zao, wenyewe huita 'kuruka ukuta' na hii imekuwa ikigundulika hasa wake zao wanapokwenda hospitali kujifungua na kupata taabu kwa vile fyuzi zote huwa zimeshalegea za kuwawezesha kukusanya nguvu za kusukuma mtoto.Mbali na tabu hizi pia wamekuwa wakidhalilishwa na manesi kwa matusi ya nguoni na wakati mwingine baba watoto hulazimishwa kwenda hospitali ili apewe somo la madhara ya kuruka ukuta kwa mkewe.
Kwa wale wanawake ambao wameshapatwa na mkasa huu nasikia husaidiwa kwa kuwekewa pamba sehemu husika (Katikati ya mdomo wa milima ya oldonyo rengai) ili mama aweze kukusanya presha tumboni.
Kwa wale akina baba na akina mama wa pwani mtuambie kama huu ni uzushi au ni kweli

Last edited: