Wanaume wa mikoani wakimsokota mamba

Wanaume wa mikoani wakimsokota mamba

Inaonekana wanaume wa Dar es Salaam wananyima usingizi wanaume wa mikoani poleni Sana.
 
Wanaume wa dar wameshajificha chini ya kiberiti...
 
Mbona huyo yuko uchi? Hizi picha mbona kama haziendani?
Anyways... Ni wajasiri sana
 
Mamba humeza kitu kizimakizima ivyo kama chatu....something to think behind
 
Wanaume wa darisalama

abfa4e795fc5e7425fd7965289262de0.jpg


5451842d57fd6bffd83f4586dcb04892.jpg
Aiseeee kazi kweli kweli Mwenzao kule kawalalamikia waache kuoga maji ya baridi Eti wanachemsha wanaogopa baridi haaaa,haaaa
 
Hiyo picha ya juu kabisa mbona kama ni nyama ya kondoo,,,
Hakuna mamba mwenye paja la ukubwa hivyo hata awe ni mkubwa vipi
Dah! Aisee!! Hivi kwa macho yako unaona kweli kuna nyama ya kondoo hapo?
 
Wanaume wa Dar es salaam wanatamani hio thread Mods waifute
 
kama siyo Ukerewe, ni Msoma kwetu Kutiki msigaji ukomeye Nakulola wasu kumbe enu one uliyo??? Soon atakuja kunijibu hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom