Wanaume wa mikoani wakimsokota mamba

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,182
Mamba alimkamata mtoto na kummeza , jamaa wakaamua kumsaka mamba na kumfanya hivi
IMG_20170510_133304_090.jpg
IMG_20170510_133330_100.jpg
IMG_20170510_133403_834.jpg
IMG_20170510_133457_238.jpg
 
Umepangilia vibaya picha zako ya mwisho ndio ilitakiwa iwe ya kwanza na ya kwanza iwe ya mwisho
 
Halafu hyo nyama ya mamba tamu balaa,,, inamafuta na inanukia kama samaki..
 
Tangu nimfahamu mamba sijawahi sikia kwamba ameua na kumeza windo lake moja kwa moja! huyo mamba wako nina mashaka naye..pengine sio mamba ninayemjua mimi hah hah
 
Back
Top Bottom