Wanaume wa Marekani mna nini?


Alafu ukisomea degree mbovu we rudi nyumbani ukalime. Utakuwa janitor mpaka uzeeni. Na sijui ulaya lakini marekani kazi yenyewe kuipata mpaka resume ieleweke sivyo utafanya kazi mcdonalds au kusafisha shule au walmart casheer. Na kama huna ela hauli bata wala kutoka toka kuzurula. Alafu watu wanashangaa ukiwa unasema unataka urudi Tanzania ili ujivinjari. Hela inaenda mbali zaidi Tanzania kuliko marekani.
 
Umenichekesha sana...eti "Nyani Ngabu yaani unaondoka hivihivi bila kuonana na mimi,haya bwana,sawa".
 
Umenichekesha sana...eti "Nyani Ngabu yaani unaondoka hivihivi bila kuonana na mimi,haya bwana,sawa".

Hapo ndo ujue watu wananikubali kimya kimya.

Na kuna wengi tu ambao hujifunza mengi sana toka kwangu humu.

USA ma nigga!

 
USA USA tu kila mtu anatamani kuwa hapa nchi ya ahadi. Nchi ya maziwa na asali. Wabongo wanajidai kudiss ila mioyo yao inajua wapi wanapenda waende.

Achana na wala vumbi faza. Bongo zao zimejaa vumbi tu they can't think straight.

Wana diss USA huku wanapenda vitu vyake. Wanafuatilia kila nyendo za Kim K.

Wanampenda Obama na familia yake (usikute hao ndo nyumbu waliokimbizana kwenda kumwona siku ile kaja bongo).

Wanamwona Michelle Obama mrembo ilhali ni mwanamke wa kawaida sana...actually below average kwenyeurembo. Yaani sio head turner kabisa.....

Mengi yajiriyo USA wenzio wanayajua....juzi tu hapa nimekuta videmu flani vya Uswazi (ila vyenyewe vinajiona vya kishua) pande za Mabatini vina dab eti.....halafu hata havijui vilikuwa vinafanya nini. Vyenyewe vimeona tu kwenye YouTube vikaanza kuiga.

Talk about Monkey See Monkey Do teh teh teh teh.....

USA baby

 
Ha-ha watakuja hapa kutokwa povu bdae wanauliza jinsi ya kupata visa ili waingie nchi ya ahadi.

God bless America
 
Boss hii picha ni Georgia?
 
hahahahahah ko nkienda uSa nkirudi tz ni full kutafuna totoz tu au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…