Wanaume wa Marekani mna nini?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huwa unasema ukweli sana
Unajua bob mimi kitambo nilikua mtu wa kulia lia kufukuzia madem, nilikua ndezi sanaa nd was like feeling down most tyms wit these women till i met niggas/friends who showed me how this game goes down.

Dem miaka buku ukimtongoza unaharibu hahaha...u shud play the prize here (the magnet) u attract them, u make them hot and wanna pursue you by showing them ur of a certain standard/level or desirable position....as they come unatupa punje za mahindi chini taratibu (hela) kama kuku anavyozifwata akiingia bandani tu una chinja manina.

Sasa hapo ni maujanja na ubunifu wako. Tehe
 
Uliwe kwa sababu tu ya kuchat, duh, wewe kiboko! Jamaa yako yuko busy anapiga kazi kwa ajili yako, wewe unawaza kuchat naye, ukiona harespond, unaanza kuwaza dushe la mtu mwingine! Nomaaaaaaaa!
Umeanza sasa
 

teh teh teh mbaya zaidi wadau wa humu wanakata hadi mbawa, inabakia jina tu maana kuruka tena hawezi.
Ha haaa shenzy nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…