Ok kumbe zinatengenezwa Asia kama za Kariakoo.
Kinachotengenezwa Asia kwa teknolojia na standards za US ni tofauti na zinazotengenezwa Asia kwa standard za Asia. Za kkoo zinatengenezwa Asia kwa standard za Asia.
Ndo maana Toyota zinazokuja Afrikani tofauti na zinazoenda EU & US. Standards zinatofautiana.
Product design inafanyika Marekani. Huko Asia vinashonwa tu.
Na vinavyopelekwa Marekani kuuzwa Marekani vinakidhi viwango.
Vinavyouzwa Kariakoo ni feki.
Hapo kwenye mawasiliano umenena,mwingine unachart nae ni kama unalazimisha,msg zake kifupifupi unahamu ya kuchart nae lakini ye wala haoni uzito hapo akitokea wa kukupa company ndio hivo unaanza kuhamisha hisia taratibu
Ndo maana sijawahi ona Toyota Spacio, Noah, Vitz, Duet, wala IST Marekani.
Sasa ni heri huyo aliebize inaeleweka yuko bze. Mtu yuko online kabisa huyo atasema ni ubze?Watu wanatafuta $$$ mama, inawezekana boredom ikamfanya mtu kutaka kuchat mda mwingi. Kuna watu huko mbelez wanafanya kazi 16hrs. Huo mda wa kuchat anautoa wapi. Akishika simu dk chache usingizi huo...
Kama una mtu mbelez na wewe unahitaji akupe mda wake, pesa zake naamini utashindwa coz wengi wao wanafanya kazi mda mwingi.
US ni US tu. Hata hao China wameshakuwa juu kibiashara duniani lakini wanajazana US kubeba box.
That one there is the effect of brainwashing masela.
Hahahaaa hao wako wengi kichizi US.
Chinese restaurants kwa mfano zipo karibu kila kona ya US.
Hadi 'China towns' zipo.
Nina uhakika kuwa US kuna Chinese immigrants wengi [kwenye mamilioni] kuliko ambavyo China kuna American immigrants.
What did you mama teach you? Unajiongeza tu, Kwani lazima uwe nae?Sasa ni heri huyo aliebize inaeleweka yuko bze. Mtu yuko online kabisa huyo atasema ni ubze?
Yes ndo hivo ni kuhamisha hisia tu mana hakuna namnaWhat did you mama teach you? Unajiongeza tu, Kwani lazima uwe nae?
teh teh teh ila wewe jamaa wewe..
Yes ndo hivo ni kuhamisha hisia tu mana hakuna namna
Kwa mmoja tuUtahamisha kwa wangapi ikiwa wote hawatakupa attention?
teh teh teh mimi huwa si Google. Ila nafaruhi unavyowapa makavu wenzio.
Uko wapi Simplicity.
Nambie kijana