KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Duuh yaani ile kutania tu"BASI NITAMPANUA" weee ulivugumiza jiwe mamii,nilikuwa napata Jack Daniel wacha inipalie,yaani uliivuta ile"NYOOOOOOO,nikashika adabu yangu mamii.Ha haa relax bana. Hata sina ukali jamani, istoshe hujanikosea yanayoendelea hapa nachulia ni utani tu
Ha ha haaa nyoooooDuuh yaani ile kutania tu"BASI NITAMPANUA" weee ulivugumiza jiwe mamii,nilikuwa napata Jack Daniel wacha inipalie,yaani uliivuta ile"NYOOOOOOO,nikashika adabu yangu mamii.
Hii hainshtui sasa,coz najua hii ni ya kishkaji mamii,sio ile iliokuja out of blue,coz wakati namjibu yule Mkuu,si nikajua wewe hutaiona,wee nilishtuka kukuona mamii umetokelezea na jiwe lako paaaaaaah.Ha ha haaa nyooooo
hivi kweli cesi nikasimame pale ubalozini nasubiri mtu?... mmhhahaaaaaaa hilo gundu we nenda hata ubalozini tu
Ja magwa lemi!Madirector wengine ni shida tupu.
Uzi ule mwengine umefungwa ?,
Mod wanazingua sana mshakuwa akina nkurunzinza
acha upambe lllooohhh!!!Uzi ule mwengine umefungwa ?,
Mod wanazingua sana mshakuwa akina nkurunzinza
Mwala sanaNsoga doho! Ja makanza?
Mimi apa[emoji12]Yoo...niaje MazGaz...
Nimesikitika sana kwa uzi ule kufungwa maana nilikuwa na bonge la shauku kusoma na kuchangia.
Nani karipoti kwa mods hadi ukafungwa?
USA baby
Mimi apa[emoji12]
Ha haa natamani ulipueKwani na wewe nimekutafuna?
Sema ukweli...usiposema nakulipua!
Ha haa natamani ulipue
He hee rusha namie nirusheNgoja niweke mapicha yako yote uliyopiga umepozi na kunitumia..
Na ile video naiweka😛
He hee rusha namie nirushe
Wameufunga bro daah kulikuwa na bonge la muvi mithili ya movie la director Cameron au spielberg .Yoo...niaje MazGaz...
Nimesikitika sana kwa uzi ule kufungwa maana nilikuwa na bonge la shauku kusoma na kuchangia.
Nani karipoti kwa mods hadi ukafungwa?
USA baby
Geniveros njoo nisaidie kuazimia scheme of work mwalimu [emoji12] [emoji119]acha upambe lllooohhh!!!
ya somo gani?Geniveros njoo nisaidie kuazimia scheme of work mwalimu [emoji12] [emoji119]
Wameufunga bro daah kulikuwa na bonge la muvi mithili ya movie la director Cameron au spielberg .
Hahahahahh[emoji14] daah mods hawajafanya fair .
Kila kitu kiliwekwa wazi .
Watu walikuwa exposed to the maximum point that we can call it a point of no return.
Ila nasikia ulichapa na kusepa na wanajipa promo kwamba huchomoki yaani umeshawekwa kwenye kiganja wala vumbi wamepondwa sana .[emoji3] [emoji119]
Nyani ngabu USA baby imewashika watu[emoji23] [emoji119]