Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
- Thread starter
-
- #561
Ukipendacho wewe sicho wanachokipenda wenziomnamiliki nini huko USA, Isije ukawa busy for nothing, nyumba umepanga, gari ya mkopo, unaringishia opicha nzuri ulizopiga kwenye majengo ya wenye helaaaaa, njoo ulime manansi huku kwetu, umiliki ardhi, usafiri nyumba na kila kitu unachotamani
Nyani Ngabu ehehehe dada hajui harufu ya ANKARA ANKARA huyu nahisizamani baby! not now
Huko kuna Malaria,kipindupindu,mabusha na magonjwa mengiii yanayoweza tokomezwamnamiliki nini huko USA, Isije ukawa busy for nothing, nyumba umepanga, gari ya mkopo, unaringishia opicha nzuri ulizopiga kwenye majengo ya wenye helaaaaa, njoo ulime manansi huku kwetu, umiliki ardhi, usafiri nyumba na kila kitu unachotamani
Eti eee.... Basi nasubiri
Walikua wanakutafuta hao.... Sijui wamekimbilia wapiMamito kuna habari gani mpya hapa. Wakuda na wajeda bado wanaharisha?
Walikua wanakutafuta hao.... Sijui wamekimbilia wapi
Ukiondoka ndo watakujaHao wakuda na wajeda wanitafute mimi? Haya, wakirudi kutoka huko walipokimbilia waambie leo nipo hapa..lol.
Ukiondoka ndo watakuja
Kwa nini ndoa za mastaa hazidumu? Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha
cc: Nyani Ngabu Valentina KARANJA 007 Sumu lara 1 Masunga Maziku, Evelyn Salt na Wakurugenzi wote mliopo nje ya nchi hasa USA!
Ops sasa mie sipo nje ya nchi bana wala sio mkurugenzi popote
Kha! Ulimkimbia naona umeamua sasa kumsema! Nyani Ngabu
Ops sasa mie sipo nje ya nchi bana wala sio mkurugenzi popote
Nilimkimbia nani?Kha! Ulimkimbia naona umeamua sasa kumsema! Nyani Ngabu
Nilimkimbia nani?
Mkurugenzi wa NYC.
Ooh mmekuja sasa ee... Ngoja nimuiteHauna hata rafiki ambaye ni mkurugenzi aweke mchango wake?