Wanaume wa Marekani mna nini?

Sasa wewe nikikudandia nyuma inakula kwako,lakini wewe ukinidandia mimi sana sana utanichubua tu kwa kichaka au msitu wako wa MABWEPANDE au vipi?

Duh inaonekana we mzoefu wa kudandiwa. Kwa hivyo hata uwezo wa kudandia huna tena.
 
Usiku bado haujawa mwingi,haraka ya nini?,au mzee yupo leo? au umeitwa chumbani na shemeji nini,niambie ukweli nikupe trick za kumpagawisha mpaka akuandikie hiyo nyumba urithi au vipi?
Naenda kupewa tamuuu
 
Hahaha yao isn't sport (yai si mchezo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…