Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Hujanijua bado weweHuyu nimeshamjua.
Hujanijua bado weweHuyu nimeshamjua.
Daah naona umeanza kuingia line,sasa nenda kwa mganga wako umpe zawadi,dawa zake zimeanza kufanya kazi,yaani naanza kukupenda ingawa sijakutia machoni.
Kama kazi,yaani unatoa siri zako sasa,maana Sangoma huwa hawatoi siri hata kidogo,sasa mambo ya kudandiwa na Sangoma umeyajuaje?,basi mamii ficha bhaana,au biashara matangazo?kumbuka mimi ni mteja wa tigo.Acha umburura, kumbe mambo ya sangoma unayajua? Bila shaka sangoma alishakudandia dadeki. Duh, we si mchezo una experience ya kutosha. Helo bazazis, mzivo huo Karanja.
Usihofu ile gia ya Visa ilikuwa ya kuingilia tu. Halafu alivyonibwatukia kama alikuwa ananisubiri niingie kwenye 18 zake..
Kama kazi,yaani unatoa siri zako sasa,maana Sangoma huwa hawatoi siri hata kidogo,sasa mambo ya kudandiwa na Sangoma umeyajuaje?,basi mamii ficha bhaana,au biashara matangazo?kumbuka mimi ni mteja wa tigo.
Kama kazi,yaani unatoa siri zako sasa,maana Sangoma huwa hawatoi siri hata kidogo,sasa mambo ya kudandiwa na Sangoma umeyajuaje?,basi mamii ficha bhaana,au biashara matangazo?kumbuka mimi ni mteja wa tigo.
Au unapenda kusikia maneno yenye shombo ili uondoe UGWADU?,maana baadhi ya mademu hupenda kuwarushia maneno wanaume ili warushiwe shombo ili waweze kuroana kunako,na hii ndio sababu umekazana mpaka uloweshe.Acha umburura, kumbe mambo ya sangoma unayajua? Bila shaka sangoma alishakudandia dadeki. Duh, we si mchezo una experience ya kutosha. Helo bazazis, mzigo huo kamleni Karanja.
Hujanijua bado wewe
Kumbe sangoma huwa anapigisha,hebu fafanua alivyokupigisha .Sangoma kakuweza, kakupigisha hadi kumbukumbu unapoteza. Bazazis nao watakuogopa huna maana tena.
Kumbe sangoma huwa anapigisha,hebu fafanua alivyokupigisha .
One man army, next time choose your battle carefully.. Mmezoea kuintimidate wadada kwa maneno, hapa mmegonga mwamba.
Au unapenda kusikia maneno yenye shombo ili uondoe UGWADU?,maana baadhi ya mademu hupenda kuwarushia maneno wanaume ili warushiwe shombo ili waweze kuroana kunako,na hii ndio sababu umekazana mpaka uloweshe.
Kwa vita gani unavyoviweza, yaani kwa ujanja wako wa kutafuta visa kupitia JF?
Hivi ndio maana mda wote huwa yuko online, kumbe ni mod
I a director of.... nisiwape faida zaidi. Naweza kuwalisha, kuwavisha ninyi na ukoo wenu kwa mwaka mzima.NYC itakuwa wewe? Unafanya nini sex works?
Kuku kweli, wewe unawaza kulisha watu kwa mwaka, watu wana hela ya kulisha vijiji kadha maisha yao yote na wamenyamaza. Tuma picha tatu tu za mitaa ya NYC za hivi karibuni na ueleze hapo ni wapi, kama Nyani Ngabu kama hujaumbuka!I a director of.... nisiwape faida zaidi. Naweza kuwalisha, kuwavisha ninyi na ukoo wenu kwa mwaka mzima.
Hivi niko vacation ndio unaniona humu. Get a life dudes.
Kuku kweli, wewe unawaza kulisha watu kwa mwaka, watu wana hela ya kulisha vijiji kadha maisha yao yote na wamenyamaza. Tuma picha tatu tu za mitaa ya NYC za hivi karibuni na ueleze hapo ni wapi, kama Nyani Ngabu kama hujaumbuka!