Wanaume wa maofisini tuhurumieni jaman...

Wanaume wa maofisini tuhurumieni jaman...

ile dawa mpya inafanya kazi vizuri 🙄
 

Attachments

  • Image .jpeg
    Image .jpeg
    54.5 KB · Views: 38
Kama unateseka OmbaUpewe kwanini huwi muwazi wakati unataka Mnara??
 
Habarini za asubuh....

Hivi jaman kwann hawa kaka zetu huku maofisini wanapenda kutuharibia mood asubuh asubuh jaman???

Hivi siku hizi wanaume boxer hamvai au??manake mtu asubuh mbele kumetuna kama umejaza furushi la magimbi huko kwenye suruali mpka unaiona kabisa inataka kuchanika inakuwaje jaman???

Yaan especially kwenye hivi vikao vya asubuh mtu hata haogopi kusimama kuchangia mada wakati limashine lake limeshika minara yote yaani kitu 4G inakuwake jamani mnatutesa wenzenu tunashindwa hata ku concentrate kwenye kikao aaaagh haya ni mateso bila chuki au mnataka muonekane wanaume mashine????mnaboa

Ushauri
Kama una mke hebu jitahidini basi kuzipunguza kwenye morning glory kabla hamjaja ofisini manake mwishowe mtakuja baka hawa cleaner

Na pia kama unaonaa asubuh babu yako kutuliaa hawezi jitahidi mvae boxer za cotton kidogo zimshikilie huyo mzee na sio kutuachia mambo yote hadharani

And la mwisho jitahidi kuvaa nguo zinazo wakaa saawa jaman mibano ya nini kazini??mnatafutaa nn??sisi wanawake tubane nguo na nyie mbane mnatka kutuonyesha nini?????

Jamani eeeehe tusitiane dhambini kwa kutamani visivyo vyetu dini inakataza kutamani na macho yanaforce kuonaa sasa tunaomba mvae mabwangaaa


Mambembe the queen of all weather
Mambembe the unstoppable
ndio zetu siku hizi
 
Itakuwa ulimsisimua , na nyie muachage kuvaa vimin , mtatufanya mnara usome kila wakati
 
Unachokitafuta utakipata tuu.
Ukiona jicho lako la kulia au kushoto linakufanya utende dhambi basi ling'oe.
 
Hiyo ofisi yenu naona kazi haichoshi, ila patamu
 
Back
Top Bottom