Wanaume wa kuogopa


Acha kutembea na chupi mkononi weye...!
 
have you been done?? in swahili UMETENDWA??
 

Unahitaji matibabu ya haraka maana una kila dalili ya ungonjwa wa KUTENDWA! Umechanganyikiwa hata unashindwa kuweka sawa na kuelezea hisia na machungu yako. POLE SANA.

Tulia tafakari la kufanya, kwa mwendo huu utadata.
 
Maskini wee mimi aii kua uyaone...
 
Last edited by a moderator:
We umeona wapi swala kutaka urafiki na simba halafu asiishie kuliwa...!!!
 
we ushaliwa kaa kimya....tatizo lenu mnapenda kushobokea watu msiowajua vizuri
 
Jamani hebu msimshambulie mpeni pole kwa yaliyompata, hamjui mnamzidishia machungu mtoto wa mwenzenu jamani????
 

Angalilia angalia mume wa mtu mwingine,hahaaaaaaa.patamu hapo,athari za kuiba waume za watu,hizo,mpaka ulipe.
 
Washakuvuruga weye ugua pole wenzako wanasifia wanaume walio aged.sasa ni pm tujaribu kama tunaweza fanya colabo mini under 35 dada.
 
HAHAHAAAAA! Umenikumbusha kisa kimoja cha TZ SHAROBARO FROM MANHATAN IN BONGO!!!!!! siku nikifurahi niwashirikisha wa dau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…