Nimekuwa najaribu kufanya tathmini ya ubora wa wanaume wa kibongo kwenye swala zima la mahusiano, ukiwalinganisha na wengine wa East Africa pamoja na West Afrca. Naombeni mchango wa mawazo