jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Tafsiri isiyosahihi juu ya wanaume na uanaume hasa kwa hizi tabia za "kisasa"!!
kila jamii ina mila na desturi zake huwezi leta za kiyahudi au kihindi kwa wagogo,,,unataka mmasai aishi kama mzaramo,,,,,je mngependa makonde aishi kama mholanzi,,,,,,mimi masai bwana,,,rip mr ebbo,BT kama ulikuwepo vile. . .
Alafu bado utakuta nao wanajiita kichwa cha familia, wakati utendaji wao sawa na wa mkia!!!
kila jamii ina mila na desturi zake huwezi leta za kiyahudi au kihindi kwa wagogo,,,unataka mmasai aishi kama mzaramo,,,,,je mngependa makonde aishi kama mholanzi,,,,,,mimi masai bwana,,,rip mr ebbo,
jouneGwalu tafsiri ipi?
Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na kulinda familia yake (provide for them).
Hii hapa Malkia wangu Lizzy
Naomba utuwekee hapa jamvini tabia za wanaume wa kabila lako ili tuone ni jinsi gani zinatofautiana, isije ikawa hawafanyi kazi kabisa isipokuwa ile moja tunayoijua sote.Dah. . . kumbe waMassai nao wanajua kuFLIRT ehhhh?Hehehe. . nilidhani hayo ni mambo ya watu wa mujini tu.
Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na kulinda familia yake (provide for them). Miongoni mwa watu wanaoonekana wanaume kwenye jamii yetu ni waMassai kwa uhodari wa kuwinda na hata kuua simba kwa mikono, tena wakiwa na mikuki/sime zao ndo kabisa wanaonekana wa ukweliii.
Pamoja na kwamba nimewahi kuishi nao miaka ya nyuma, sikuwahi kujua baadhi ya mila zao juu ya maisha ya kila siku na namna yanavyoendeshwa ila sasa nimejua na ndio nikapata maswali kadhaa juu ya wanaume hao.
Kwanza kabisa hawajengi. Anaejenga ni mwanamke (mke/wake zake), na ole wao mvua inyeshe alafu bwana anyeshewe. . . lazima mama aambulie kibano na aeleze kwanini 'bwana inyeshewe'( in a Massai accent).
Pili chakula anatafuta mama.
Kutwa nikiangalia naona wanawake ndio wanaopita na punda + madumu kwenda kutafuta maji na kuni wanakokujua wao.
Wanaume utawaona wanapita fimbo zao + mbuzi na ng'ombe kupeleka machungani tu BASI. Wakija dukani wanaume wengi ni wanaulizia kiroba na beer. . . wachache sana watataka chumvi, sukari, mafuta, mchele au hata pipi za watoto kuashiria anakumbuka na kujali familia.
Mashine (kusaga na kukoboa) wanaokuja ni wanawake. . .
Kukamua wao. . .
Kupika wao. . .
Malezi wao. . .
Yani wanaume wao ni machungani kwenda kupiga soga huko wakati wamama wanapanda na kushuka na barabara. Kwa ufupi. . .wanalelewa na kutunzwa na wake zao.
Je nao ni wanaume? Au ndo sawa na wale wanaoitwa 'MARIO' mjini? Au yeye sio muAfrika hivyo ule utamaduni wa 'mwanaume wa kiAfrika ni provider' hauwahusu?
Nadhani wanatumia huo huo ukichwa waliopewa hata kama hawatimizi majukumu yaliyotolewa pamoja na title.Ukichwa wa mwanaume kwenye familia aliutoa Mungu.Sasa sijajua kama ukichwa huu unatokana na kuongoza kwa kutoa maelekezo au kwa kutenda.Maana anaweza kuwa mbunifu akawa mwingine na mtendaji akawa mwingine sijui hapo nani ni nani!
Naomba utuwekee hapa jamvini tabia za wanaume wa kabila lako ili tuone ni jinsi gani zinatofautiana, isije ikawa hawafanyi kazi kabisa isipokuwa ile moja tunayoijua sote.
Wewe ulitanguliza miguu ulivyozaliwa...masai sio watu...manina...nyie ndio kina wale mnaotemea mate maji mkitumwa na wageni..bangi tuMasai ni jamii ya binadamu lakini siyo watu
Unajua kila jamii ina utaratibu wake wa kufanya kazi, wenzetu wapemba mama kazi yake ni kupika tu kazi nyingine anafanya mwanaume kama kwenda sokoni anaenda mwanaume kutafuta pesa anatafuta mwanaume kupeleka watoto shule ni mwanaume hawataki wake zao watoke toke nje wao ndani kupika na kumwandalia chakula cha usiku mwanaume baaaaaaaaaasi top je jamii hii husika utasema mwanamke ni ovyo hajitumi?
Hii hapa Malkia wangu Lizzy
Unajua kila jamii ina utaratibu wake wa kufanya kazi, wenzetu wapemba mama kazi yake ni kupika tu kazi nyingine anafanya mwanaume kama kwenda sokoni anaenda mwanaume kutafuta pesa anatafuta mwanaume kupeleka watoto shule ni mwanaume hawataki wake zao watoke toke nje wao ndani kupika na kumwandalia chakula cha usiku mwanaume baaaaaaaaaasi top je jamii hii husika utasema mwanamke ni ovyo hajitumi?