hili ni kama tusi kwa jamii ya kimasai.u r totaly wrong..na ninawasiwasi kama umeichunguza vyema hii jamii ya kimasai..labda umesikia hadithi tu..kutoka kwa watu..
lizzy,
mijanaume ....oopphs sorry
wanaume wa kiafrica wengi ndivyo walivyo...
kazi yao kusugua miguu mwaname ndo atafute...
alime, apike, alee
yaani taabu tupu....
usishangae kwa makabila ya walimaji, mume na mke wakitoka shamba(kama mume siku hiyo kaenda kulima) mke atabeba jembe, mtoto, na atapita kuchuma mboga na kuokota kuni, mume atarudi nyumbani asubiri mke apike ale aende kilabuni.... jioni mke na watoto wende shamba............................
Dah. . . kumbe waMassai nao wanajua kuFLIRT ehhhh?Hehehe. . nilidhani hayo ni mambo ya watu wa mujini tu.
Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na kulinda familia yake (provide for them). Miongoni mwa watu wanaoonekana wanaume kwenye jamii yetu ni waMassai kwa uhodari wa kuwinda na hata kuua simba kwa mikono, tena wakiwa na mikuki/sime zao ndo kabisa wanaonekana wa ukweliii.
Pamoja na kwamba nimewahi kuishi nao miaka ya nyuma, sikuwahi kujua baadhi ya mila zao juu ya maisha ya kila siku na namna yanavyoendeshwa ila sasa nimejua na ndio nikapata maswali kadhaa juu ya wanaume hao.
Kwanza kabisa hawajengi. Anaejenga ni mwanamke (mke/wake zake), na ole wao mvua inyeshe alafu bwana anyeshewe. . . lazima mama aambulie kibano na aeleze kwanini 'bwana inyeshewe'( in a Massai accent).
Pili chakula anatafuta mama.
Kutwa nikiangalia naona wanawake ndio wanaopita na punda + madumu kwenda kutafuta maji na kuni wanakokujua wao.
Wanaume utawaona wanapita fimbo zao + mbuzi na ng'ombe kupeleka machungani tu BASI. Wakija dukani wanaume wengi ni wanaulizia kiroba na beer. . . wachache sana watataka chumvi, sukari, mafuta, mchele au hata pipi za watoto kuashiria anakumbuka na kujali familia.
Mashine (kusaga na kukoboa) wanaokuja ni wanawake. . .
Kukamua wao. . .
Kupika wao. . .
Malezi wao. . .
Yani wanaume wao ni machungani kwenda kupiga soga huko wakati wamama wanapanda na kushuka na barabara. Kwa ufupi. . .wanalelewa na kutunzwa na wake zao.
Je nao ni wanaume? Au ndo sawa na wale wanaoitwa 'MARIO' mjini? Au yeye sio muAfrika hivyo ule utamaduni wa 'mwanaume wa kiAfrika ni provider' hauwahusu?
na bado akirudi kutoka kilabu usiku, anataka mchezo, tena game heavy! tufiakwa, najitemea mate kifuani, its beter to stay single!lizzy,
mijanaume ....oopphs sorry
wanaume wa kiafrica wengi ndivyo walivyo...
kazi yao kusugua miguu mwaname ndo atafute...
alime, apike, alee
yaani taabu tupu....
usishangae kwa makabila ya walimaji, mume na mke wakitoka shamba(kama mume siku hiyo kaenda kulima) mke atabeba jembe, mtoto, na atapita kuchuma mboga na kuokota kuni, mume atarudi nyumbani asubiri mke apike ale aende kilabuni.... jioni mke na watoto wende shamba............................
..aisee hii..ni Documentary tosha...umenipa idea . LizzyDah. . . kumbe waMassai nao wanajua kuFLIRT ehhhh?Hehehe. . nilidhani hayo ni mambo ya watu wa mujini tu.
Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na kulinda familia yake (provide for them). Miongoni mwa watu wanaoonekana wanaume kwenye jamii yetu ni waMassai kwa uhodari wa kuwinda na hata kuua simba kwa mikono, tena wakiwa na mikuki/sime zao ndo kabisa wanaonekana wa ukweliii.
Pamoja na kwamba nimewahi kuishi nao miaka ya nyuma, sikuwahi kujua baadhi ya mila zao juu ya maisha ya kila siku na namna yanavyoendeshwa ila sasa nimejua na ndio nikapata maswali kadhaa juu ya wanaume hao.
Kwanza kabisa hawajengi. Anaejenga ni mwanamke (mke/wake zake), na ole wao mvua inyeshe alafu bwana anyeshewe. . . lazima mama aambulie kibano na aeleze kwanini 'bwana inyeshewe'( in a Massai accent).
Pili chakula anatafuta mama.
Kutwa nikiangalia naona wanawake ndio wanaopita na punda + madumu kwenda kutafuta maji na kuni wanakokujua wao.
Wanaume utawaona wanapita fimbo zao + mbuzi na ng'ombe kupeleka machungani tu BASI. Wakija dukani wanaume wengi ni wanaulizia kiroba na beer. . . wachache sana watataka chumvi, sukari, mafuta, mchele au hata pipi za watoto kuashiria anakumbuka na kujali familia.
Mashine (kusaga na kukoboa) wanaokuja ni wanawake. . .
Kukamua wao. . .
Kupika wao. . .
Malezi wao. . .
Yani wanaume wao ni machungani kwenda kupiga soga huko wakati wamama wanapanda na kushuka na barabara. Kwa ufupi. . .wanalelewa na kutunzwa na wake zao.
Je nao ni wanaume? Au ndo sawa na wale wanaoitwa 'MARIO' mjini? Au yeye sio muAfrika hivyo ule utamaduni wa 'mwanaume wa kiAfrika ni provider' hauwahusu?
Hhhmmm. . .kama kupenda kwenyewe ndo huko kwakufanyishana kazi kama punda I think i'll pass.Lizzy hii sikuwahi kuijua wala kuifikiria ingawa nilikuwa ninaona maisha ya aina hii ndani ya jamii hii ya kimasai. Ila kama ni mila zao sidhani kama ni kitu cha ajabu pengine ni kutaka kugeneralize maisha yawe mamoja. hahah yaani tutake atakavyoishi John Mkilanga ndivyo anavyotakiwa kuishi Laizer Alaileyoo huko Mang'ati!
By the way ninasikia kuwa hawa wanajua kupenda teh teh teh
We Kongosho juzi tena ulisema utarudi sikukuona.Nitarudi kutofautiana na Lizzy kwa asilimia fulani.
Nitafanya comparison na wasukuma, yote yakiwa makabila ya wafugaji japo wasukuma na ukulima upo.
Kwa kifupi, wanamme haswa!
Pori gani wakati wanachunga mi nawaona? Kungekuwa na wanyama wakali hapa karibu hata mimi ningekua hatarini. Kwenye wanyama ni hukoo mashambani, sehemu ambayo hawawezi kuchunga maana wanyama wataharibu mazao ya watu.Wamasai wamegawa majukumu kwa kila mtu wa jamii zao,hivyo kuona shughuli za mwanamke ni nyingi sio kweli kwani Mwanaume wa kimasai kwa shughuli ya uchungaji wa wanyama ni ngumu kweli kweli sababu huko porini mara wakutane na wanyama hatari.
Hivyo usidharau mila na utamaduni kwa niwatu wazima walio anzisha Mila hizi.
....ucjari..nitakutaja...ni kijiji gani hiko..nipate kwa kuanzia..Usisahau tu kunitaja kwenye hiyo Documentary mtu chake .