Kupanik huku kunaonyesha wote mtakuwa hivyo.Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k
Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
Njoo kwangu mama mimi naweza vyoteHabari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Ila jamani wanajua sana kujali familia zao, kwa Hilo nawapongeza. Mimi ni mchaga lkn haijawahi tokea nikadate mchaga mwenzanguWamepooza kama uji ulolala.
huwezi pewa yote kwenye maisha. hayo ndio mapungufu yao. kuna waaopenda watu wa design hiyo.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Yelewiii!Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Kutokujitambua kwangu kunahusiana nini na kupooza kwenu?
Una akili sana kuweza tambua hiloKupanik huku kunaonyesha wote mtakuwa hivyo.
Kwani wanaume wa pwani wamekukosea nini hadi uwatusi hivyo? Mbona hawana shida na mtu kabisa.