mkuu kuquote thread ndefu kama hizi mnatuumiza sana sisi tunaotumia device ndogo! plea jamani ni bora mtu u-reply kawaida kuliko kureply with quote.. please wana jf tusikilizane kwa hili!
Yaani wanakera kweli.
mkuu kuquote thread ndefu kama hizi mnatuumiza sana sisi tunaotumia device ndogo! plea jamani ni bora mtu u-reply kawaida kuliko kureply with quote.. please wana jf tusikilizane kwa hili!
Ha ha ha ha nikutafute kuna zawadi? Au.....??!!!!!Ukisalimika unitafute
partner nikikuwish hapi nyu ia sa hiz kuna mbayaHapo wengine wanaweza kusema kuwa ume-generalise.
Na ndio maana mimi nikaoa kwetu
Ndo uende ukapimwe ili ujue mbivu na mbichi. Mkuu EMT umeeleza kwa kina sasa mwenye macho na asome na kuelewa kisha wachukue hatua. Huu mfumo dume ni ugonjwa sijui utatibika lini . Wanandoa wenye matatizo ya uzazi mara nyingi husukumiwa mama tena mpaka ndugu humwandama mwanamke . Wanaume badilikeni tunapoelekea 2014.
nimemuoa jirani yangu.Hongera Mkuu,
Umemuoa nani sasa kwenu?
Dada au Binamu yako?
msg ndefu mpaka yachosha ,utazani umetunga bwanah