Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
kwa mujibu wa mfumo dume...sasa kama wewe unataka kuupinga usipige kelele kuhusu kuolewa. tulizana ukiwa single....the choice u make the price u pay.
ndoa imeingia mitini?
King Julian King'asti, njoo uokoe roho inayotaka kuacha mwili hapa.
Hao wenyewe tunaowaita wanaharakati wengine wakiwa na wanaume zao wanaongea kwa unyenyekevu utasema si wale waliokuwa wanaongea kwa ushajaa na kuwahamasisha wanawake wenzao
noo nitaolewa,sema sio na muafrica,cha kushangaza huu mfumo dume ni kwa waafrica,yaani nikufulie nikunyooshee na mwanangu atamfulia nani nyoo...get lost.:majani7:
watu wasiojua wajibu wao utawajua tu. Siwezi kuoa mwanamke asiyejua kupika au kufua hata kama hatapika na kufua yeye! Mpake chupi zake afuliwe na hg? Kazi yake nini? Kupaka rangi mdomo na kucha? Hata kama una mshahara mkubwa kiasi gani! Ni simple, just kaa uwe unavuna kwa kutumia k.
Hakuna kero na mzungu.mzungu na penzi fake atakushtukia,mwafrika utamdanganya hopoo .red flag kwa mwafrika HIV .ukishaumwa ndio oh ulilala nje .hapa mama ako .african men very abusiveKaolewe na mzungu uone kero yake.....kweni kuwa nyororo ndio inamaanisha unashindwa kufanya majukumu yako kama mke? mie sioni tatizo lipo wapi....gadgets kibao siku hizi washing mashine, rice cooker, dishwasher sii ununue tuu na bwana wa kiafrika bado atakupenda tuu....usilete sababu ambazo hazina msingi
Hakuna kero na mzungu.mzungu na penzi fake atakushtukia,mwafrika utamdanganya hopoo .red flag kwa mwafrika HIV .ukishaumwa ndio oh ulilala nje .hapa mama ako .african men very abusive
My hubby does everything he cooks,wash me and my clothes na kuwahudumia watoto.we have a mex lady anasafisha nyumba.my job is makeup shopping computer na just to relax around .watu wasiojua wajibu wao utawajua tu. Siwezi kuoa mwanamke asiyejua kupika au kufua hata kama hatapika na kufua yeye! Mpake chupi zake afuliwe na hg? Kazi yake nini? Kupaka rangi mdomo na kucha? Hata kama una mshahara mkubwa kiasi gani! Ni simple, just kaa uwe unavuna kwa kutumia k.
uvivu, usista-duu na ujivuni on ndo shida yako kubwa sio kingine. mbona mama yako na bibi zako waliyaweza hayo majukumu na hawakutaka kuolewa na wazungu? too bad ada imepo...........kumfulia mume nguo,kumpikia etc ni majukumu ya mke kwa mujibu wa NANI....katiba ipi?
hili ndo tatizo kuoa mabint waliotoka familia mambo safi.Mume ukiwa legelege hawakawii kukufanya houseboy.Unaonekana mvivu wewe binti. Olewa na mzungu uwe unakula guud tym kuweka miguu sofan na kucheki tv 24hr,unakula na kulala itakuwa kazi yako.Post nynge zinaeleza huyu mtu ni waina gani.Dot.com generation kazi ipo.
husomeki
uvivu, usista-duu na ujivuni on ndo shida yako kubwa sio kingine. mbona mama yako na bibi zako waliyaweza hayo majukumu na hawakutaka kuolewa na wazungu? too bad ada imepo...........