Wanaume wa kaskazini waangaliwe upya wananyanyaswa sana na wanawake zao hakika

Ni warombo hao mkuu, wapo kila pahali, hawachekagi na wanaume vishoya 😂😂
Aisee mwanamke tupigane akiwa na sababu.
Sijabahatika tu kukutana na mwanamke mshari,aiseeee yani ningepiga zenkuzdach kama nipo kwenye dojo na mwanaume mwenzangu tena mwenye black belt.
We unanipekua mifukoni kutaka hela nilotafuta ilhali nyumbani naacha matumizi!!???
Hata kama sikuwezi ntakupiga hata na stuli ya kichwa dadadeki.
Japo kiuhalisia wanawake wababe wapo ila hizo za WAROMBO DHARAU IT IS GOING BEYOND LIMITS.
 
Wewe shukuru hujapata mwanamke wa kukupiga na kukunyoosha kisawasawa. Wenzako wananyooshwa huko ndani wakitoka nje wanajiona wababe
 
mwanamke wa kaskazini anakula kitimoto kilo 2 alafu anakunywa na mbege kitoto ndoo, baada ya hapo usiku anacheulia na safari kubwa 5.

unakuta kapanda hewani ana kitambi na mwili mkubwa+nguvu, hivyo wanaume wanaogopa kupigwa
Sasa huyo ukilala nae mwili unanuka kama pipa la pombe.Hata kula mate lazima uwe na moyo maana mchanganyo wa vilevi .Nasikia wanaume wa huko nao wameharibika na pombe kali hata kuwapa huduma za usiku wake zao imekua shida.
 
Ni kaskazini ipi mkuu, kama ni kwa wachaga ni Uongo mwanamke wakichaga hata iweje hawezi kumpiga mume wake kwa fimbo wala kwa maneno labda tu kumnyima TENDO la ndoa.
au unazungumzia kaskazini Pemba au afrika ya kaskazini?
Nenda katembee uchagani au arusha alafu uje ufute hii comment yako haraka
 
Wewe shukuru hujapata mwanamke wa kukupiga na kukunyoosha kisawasawa. Wenzako wananyooshwa huko ndani wakitoka nje wanajiona wababe
Aisee kaka mke wangu mnyaturu.
Tena kachanganya na ukurya.
Ni mbabe sio tu mbabe mrefu pia kidogo kajazia.
Nimeshapigana nae sana maana alishaanza dharau za kunichukulia ananiweza nimemzima na vistuli mpaka katulia..SIPENDAGI DHARAU ZA KIPUUZI.
Japo bora hata mkewangu akipigana na wewe kuna sababu.
Suala la kunipekua mifukoni hiyo dharau ambayo siivumilii bro.
 
Ni upuuzi mwanaume kuzichapa na mwanamke, ni heri uachane naye tu maana wanawake wa leo wameajiri wanasheria so atakushinda kisheria ukimtwanga mangumi 😂
Bro mie mwenye nina ndugu kibao katika field ya sheria mahakama kuu ya makosa ya jinai,jaji usuluhishi mahakama kuu ya ardhi,mwanasheria na mwendesha mashitaka wa serikali.
Hao ndio walinisaidia kesi za ndoa ya kwanza na ya pili.
Pasi na wao kaka nisingekua nachangia JF hapa sasa hivi eidha ningekua rumande au nimekufa(maana ndoa ya kwanza nilijitundika kitanzi na kujaribu kujinyonga).
Hawa wanawake wa siku hizi wa haki sawa kwa wote wanajitegeza sana.
Yani mie nikae nikuache umekunja ngumi umenipiga,umenitia mtama,mara umenifinyaa!?
Aaah weeeh over my dead body.
Toka ninusurike suicide attempt 2021 kisa upuuzi wa mwanamke.
Hawa viumbe hadi leo nimeshakata mshipa wa huruma kabbissa kwao.
YANI WAKIZINGUA HUWA NA DEAL NAO EXCRUTIANTLY AND PERPENDICULARY.
 
Back
Top Bottom