Iyola99
Member
- May 16, 2022
- 63
- 321
Wanaume wa jf sio wakweli hata kidogo ,they are not real but full of acting.
Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu usiku nina mke Mara naogopa tutagombana.
Wakat inbox unanitongoza unadai upo single chefu
Halafu wanaume wa JF ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Sasa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan
ulivyo muongo afu eti Sina mke nataka uwe mke wangu
Mtchewwww
Hapo Hapo usipige simu nipo kazini mara sasa hivi usiku babe, babe ya nyoko
MNITUE NA INBOX YANGU NAFUNGA
Yaani JF kwa kuact magenius kumbe makopo
Halafu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono
kwanza umenishangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaume
Alokwambia nataka kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui
Yaani jamani ukiomba mchumba JF shughuli ipo
Aaah wakaka hawataki upendo kwanza first day wanataka

Ukimwi hautaisha
MTU hata hujawai mwona. Humjui ndio first date na
unaomba
chefu
Sijapenda embu niambie Kama unamke umeoa ulinifatia nini Bobo na kuniomba WhatsApp number and then usinipigie simu usiku nina mke Mara naogopa tutagombana.
Wakat inbox unanitongoza unadai upo single chefu

Halafu wanaume wa JF ni waongo jamani anajifanya moyo mpweke anajibebisha uko Bobo anakuita ili umpelekee chini tu
Sasa we nae unawatoto 4 uko Italia mala Sudan
ulivyo muongo afu eti Sina mke nataka uwe mke wanguMtchewwww
Hapo Hapo usipige simu nipo kazini mara sasa hivi usiku babe, babe ya nyoko
MNITUE NA INBOX YANGU NAFUNGAYaani JF kwa kuact magenius kumbe makopo
Halafu nawewe nikikuona umekomment hii post ntakuaibisha kwa kuniomba omba vocha eti unibembeleze usiku nilale ka pono
kwanza umenishangaza toka lini mnyakyusa ukajitia mkorogo Tena mwanaumeAlokwambia nataka kubembelezwa nilale kwani kufunga macho mi sijui