Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,175
🤣🤣🤣🤣Hatari wana Kipanga kwa mashambuliziUkisikia vita hii ndio vita sasa Muraaa
🤣🤣🤣🤣Hatari wana Kipanga kwa mashambuliziUkisikia vita hii ndio vita sasa Muraaa
Yaani!!! Na cha ajabu waeza shangaa wasijibu kwa hoja zaidi ya povu na matusi wakati dada wa watu kafunguka ukweli wake. 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Hatari wana Kipanga kwa mashambulizi
Ukweli mchunguYaani na cha ajabu waeza shangaa wasijibu kwa hoja zaidi ya povu na matusi wakati dada wa watu kafunguka. 😂😂😂😂
Pole 🤣🤣🤣🤣Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Na unaumaga acha.Ukweli mchungu
😂😂😂😂😂😂Pole 🤣🤣🤣🤣
alitaka akuajiri niniMie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Nishapoa shoga angu.Pole 🤣🤣🤣🤣
Lakini mpwa....!!!Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.