Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

alitaka akuajiri nini
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.

Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu () ikaja Mil 1.9 na senti.

Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani

Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!!
 
unaniuaa madam
Ngoja mung aone hapa utamkoma
 
Hujasikia kwani Bureau de change za Arusha zimefungwaga. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.

Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu () ikaja Mil 1.9 na senti.

Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani

Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!!
Mil 1.9 tuuu yani tuseme 2Mil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom