Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Now I know. Ila mbona nimeonana na watu hatujakulana? watakua wazembe eeh kama hawatimizi nia zao
Well inategemea na mtu gani una meet nae mpenzi wangu na ana dhamira gani, but from what i see majority intention huwa hio tho getting laid isn't neccessary, im a person who likes letting things slide!
 
Inasikitisha sana...

Hao uliyokutana nao watabadili ID sasa hivi waje kukushambulia...

Its true, its good to be real, you live happily...


Cc: mahondaw
 
Njia zinazotumika kuwakutanisha n zipi na mimi nipite maana nimedanganya mnoo na bdo sikutani na mmoja pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom