Wanaume wa huku muache mapozi

Hukua rizki yake,kama ujuavyo kisicho rizki hakiliki.....kila la kheir na huyo mwenye bahati yake..
 

Sema ulikuwa unawinda, mtego uliponasa ukajisevia zako!
 

Inawezekana alifika lkn baada ya kukuona alihisi uko matawi ya juu au ya chini kwa hiyo hamuwezi kuendana, akasepa. :A S shade:
 
mbona uliwai eneo la tukio namna hiyo .khaa ulikesha hapo au?

Smile hivi wewe tayari ulishampata?!,humu ndani Bwana kuna mtu kaniboa kweli,unajua mimi niko kwenye harakati za kuona nani atanifaa kwa sababu na ninyi mlishakuwa magumashi kweli,yani ni matatizo,kuna mwingine humu kasema anataka wa kumuoa ana miaka 23,lakini kumbe ni njemba sasa hii sijui inamaanisha nini?!,yani mi mpaka nachanganyikiwa!.
 

mshukuru wa jf kakuunganisha,ni vizur ukaongea nae awe kwenye safu ya kiungo ili mara mojamoja uwe una cheat na kunabadili ladha..mana kucheat kunahusika...!
 

usishangae mkuu, sikuhizi hata wanaume wanaolewa, bado tu ndoa zao kualalishwa kama South.
 
usishangae mkuu, sikuhizi hata wanaume wanaolewa, bado tu ndoa zao kualalishwa kama South.

Yani nimeshanga sana Dada yangu huwezi amini nimeshikwa na Butwaa,unajua wengine wanafanya utani wakati wengine tuko Serious.na kama itafikia hapo sidhani kwama watawapata!!!
 
Hahahahah wanaume wa aina hiyo wako wengi sana humu
Kila la kheri bi dada.
 
Mie hata sijakuelewa, hii umeiandika kama taarifa kwa wana JF ama unataka ushauri wao? Saa ingine najiuliza maswali kama haya; Je, ulitaka tujue kuwa mwaka 2009 ulienda nje kusoma? Ama je,unajinadi kwamba wewe ni wa Steers na si wa kukutana na mtu Temekeeeeee.... Mikoroshini? Au labda kuna unaowalingishia ya kuwa baada ya kuchoshwa na u_single, sasa umempata mchumba? Any way, mtizamo wangu si hitimisho, still you have freedom of speech! Acha nipite maana hata hivyo mie ni mpita njia tu, hapa sio mwenyeji!
 
Hivi Retired Sister ulikuwa unatumia kigezo chochote kuchaguu au yeyote kwako ilikuwa sawa....Maana unamsubiri A ambaye una mawasiliano naye anafika B ambaye hukuwa na mawasiliano naye unachukua the same action....Ila nikutakie kajisafari kema kwani ndio kwaaaaanza umeanza.
 

Heheheheheeee haya hayaaaa mambo ya soul mate hayooo, hongera mwaya Retired Sister kula raha nakutakia malavidavi heavy yaani hadi ukitoka nje macho hayafumbui, enjoy mwaya na soul mate wako.
My Endless Love - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Dah yaani ulijilengesha hv hvv salaaaaleeee ............. tena mapema hivyo ......!
Kweli huyo kidume siyo mkulima kabisa ............................!:rockon:
 
Naona Bi Mkubwa leo waongea kwa kujiamini sana...surely yo in luv
Nikikumbuka siku umeweka bandiko lako hapa la kuomba blind date, ulikua umenywea kama hogo la Jang'ombe lililokunywa maji sufuriani...
Anyway kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…