Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub,mask,wanaoweka wave.nikihashiria tosha thatha wanawake wamepata washindani.sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume,mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .thatha nyie wanaume wa dar mnataka kutonesha nn? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini! Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend.sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
Atakua Ney wa Mitego huyuThatha ndo nini?.. Kwa uandishi huu na wewe ni mmoja wao
Wanaume kuvaa mawigi/weaving imekaa vipi jamani?Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani.
Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana miguu na kuchora mapaja yake,eti inaitwa kamatia chini .
Sasa nyie wanaume wa Dar mnataka kutonesha nini? mnashindana kuonesha mapaja yenu yalivyo nona kama dada zenu wanavyofanya?wanaume wa dar kwa thatha akitembea na dada yake inakupasa kuwa makini kuwatofautisha!wote wameweka nywele dawa,lipstick wamepaka,kijana anaukia kuliko dada yake,kavaa jeans kamati chini!
Ndo maana siku hizi hawashindi home weekend, sababu hawajiwezi wanaogopa kutekeleza majukumu yao!vijana wa mkoani wameamua kuunda tume huru.ya kukusanya maoni jinsi ya kuwanasua vijana wenzetu.
Hata kama tutampinga kwa upana wote wa midomo yote, mleta mada yupo sahihi na kasema ukweli. Kwani hili mitaani halionekani au linaonekana? Watu ni vipofu wasione ufedhuli huu wa vijana wetu? Hivi wanapotembea huwa hawatikisi nyama za makalio kama au zaidi ya dada zao? Hawavai hizo kamatia chini au wanavaa? Je, mnapopishana zile harufu kali za pafume huwa hazitoi harufu au ni harufu ya vikwapa? Hawa scrub nyuso, kuweka wigi na kutinda nyusi? Njoo hapa shekilango karibu na san siro uje uone maajabu ya kinachosemwa ili utafiti utimie,jamaa 30-38 yrs anafanyiwa haya yote na wadada kama watatu hivi wanamshughulikia. Usipinge tu kwa sababu unajua kupinga, huu nao kweli ni wivu? Dume halitakiwi kuwa na tabia hizi za make up, ili iweje?Wivu tu. Hutofautiani na walimu. Wao kazi yao ni kupinga fasheni tu. Hawajui hata wanataka suruali na sketi za namna gani. Ikija fasheni mpya tu wanaanza vita.