Wanaume wa Dar vS Wanaume wa Mikoani

Wanaume wa Dar vS Wanaume wa Mikoani

Nmechelewa siti ya mbele ila sio mbaya
 
Kama hii trend ya kejeli sijui ni utani jamaa mmoja kauliza "mbona wadada wa mikoani wakija dar kufanya kazi za ndani tunawakuta na bikra zao!! Hivi wanaume wa Mikoani ... MNAPOKWAMA NI WAPI?"

Naomba kuwasilisha.
tapatalk_1531342105349.gif
 
tunawaachia nao wanaume wa dar waionje mana ni kama golden chance pande hizo
 
Alafu nina bahati nao sana ya kuwa wahi faster tu wanapofika hapa mjini.
 
WANAUME WA DAR WANAPENDA SANA KUANGALIA VIPIND KAMA "WANAWAKE LIVE" CHA EATV "DADAZ" TAMTHILIA YA "SULTAN" ILA WANAUME WA MIKOANI HUWA WANAANGALIA MOVIE KAMA "MACHETTE"
 
Sisi wanaume wa mkoani tuna akili hatutaki kuzini ovyoovyo kama mbwa koko!!
 
Back
Top Bottom