Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,677
- 55,957
Wanaume wa dar wanalelewa, wavivu na wanashoriki ush..wanaume wa mkoani
wanabaka kuku
wanaogopa kuku aliyenyonyolewa kosa ana hirizi
wanaamini uchawi
wanatumia nguvu nyingi akili pembeni
hawaongeagi taratibu
hawapigi mswaki
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dar ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anajiremba kuliko mke wake!
Ndio maana naamini gym kuna magasho wa kumwaga! Vifua vikubwa kumbe chakula!Yaani Mo ametekwa mbele ya wanaume kama kumi na tank hivi,tena wako jimmy,wakati huku Tarime wasiojulikana walijisalimisha wenyewe,Daar Bure kabisa
Hayahaya. Twende kazi.
Wanaume wa Dar:
1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo
Wanaume wa Mikoani :
1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali
Ongeza twende sawa
We mkolofi sana.Wanaume wa DAR mkuu ni wavivu sijapata kuona,kwenda kulipia bill za maji na umeme hawataki mpaka WAKA-TIWE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee wale wanaume wana nyonga teketeke.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Dar ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anajiremba kuliko mke wake!
Yaani unashindanisha kwa roho safi kanisa:Hayahaya. Twende kazi.
Wanaume wa Dar:
1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo
Wanaume wa Mikoani :
1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali
Ongeza twende sawa
Hayahaya. Twende kazi.
Wanaume wa Dar:
1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo
Wanaume wa Mikoani :
1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali
Ongeza twende sawa