Wanaume wa Dar Vs Wanaume wa Mikoani

Wanaume wa Dar Vs Wanaume wa Mikoani

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Hayahaya. Twende kazi.

Wanaume wa Dar:

1. Waoga
2. Wachoyo
3. Hawana nguvu
4. Hawana stamina / msuli
5. Walaji wa pweza , mahindi yenye ndimu na pilipili
6. Wanalelewa na wake zao
7. Wanateswa na wake zao
8. Wanaoga kila siku
9. Wavivu
10. Lainiii
11. Hula chips, maini, uji
12. Hawana msimamo

Wanaume wa Mikoani :

1. Wana miguvu, wakorofi, hawakubali kuonewa, hula vitu vigumuu, wana uvumilivu , stamina na wana uwezo wa kuzaa sana.
2. Hula ugali dona iliyosimamia kucha
3. Hawana woga
4. Wana msimamo mkali

Ongeza twende sawa
 
Kuna siku moja nimeenda kushuhudia mechi uwanja wa Taifa (Simba na Yanga) kabla ya mechi wakaweka Singeli bwana weee!

Wanaume wa Dar walishika viti wakaanza kukatika viuno hakika mimi kama mwanaume wa Mikoani nilijikuta natamani zile nyonga zao.

Wale wanaume wana nyonga laini aisee.
 
Ungeyagegeda mkuu
 
Wanaume wa dar wanasuguliwa uso ili waonekane warembo,, Kucha

Mwanaume wa dar anajisemea naenda kukata na kuosha Kucha ili nipendeze nivae kobasi,, Aibu hii,, sana
 
WA mikoan mbona hamjisemi kuw mnaongoza kwa kutapeliwa na kuingizwa mjin mjapo dar kichwa kichwa
 
Kuna siku moja nimeenda kushuhudia mechi uwanja wa Taifa (Simba na Yanga) kabla ya mechi wakaweka Singeli bwana weee!

Wanaume wa Dar walishika viti wakaanza kukatika viuno hakika mimi kama mwanaume wa Mikoani nilijikuta natamani zile nyonga zao.

Wale wanaume wana nyonga laini aisee.
Teeehhh nasikia kwa kushika viti lazima wavae dela na kufunga kibwebwe kana kambwa Wa na kwenda kusutana
 
Back
Top Bottom