Wanaume wa Dar tukutane hapa...

Wanaume wa Dar tukutane hapa...

Babafetty

Senior Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
110
Reaction score
110
Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha, kukubalika na warembo tokana na ustarabu wetu na uungwana.

Hivi ni mwanaume gani anavaa kwa mpangilio hapa TZ kuliko wa Dar?, ila kama kawaida mti wenye matunda ndo upigwao mawe… ila kuna wanaume wako mikoani ila ndo wako ronyo ronyo balaa. Kuhusu kunyoa viduku na kula mahindi na ndimu ni mfumo tu wa maisha ila haibadirishi uhodari wetu dhidi ya wanaume wa mikoani.

Ukiwa kama mwanaume wa Dar, eleza ulivyofanya maajabu kwa wanaume na wanawake wa mikoani pindi ulipowatembelea katika mishe zako, haiwezekani tukiwa kama sisi ndo wakali wao afu watuchukulie poa.

watu wangu wa Mwananyamala, Kinondoni, Sinza, Kijitonyama, Mbezi, Temeke na Masaki najua hamtaniangusha.
 
kwan wa mikoani wangefanya nn, mbele ya bastola zaidi kulala chini km ss
Wanaume wa Dar hovyo tu

Mo dewj anatekwa nje ya lango la gym huku mabaunza wakiwa ndani huo sio umama kweli?

Mlikuwa gym au mlienda kula chips ndani ya eneo la mazoezi?
 
Nyie watanga mnabebwa kama watoto na kuogeshwa nanyi mnajiita wanaume shenzitype
 
MO ametekwa gym walipo mabaunsa .

mmmmmmh.

je umesahaj yule jamaa alitobolewamach hadharani.

asa nyie ni wanaume au wana uuume ?

hebu nyamazeni wanaume tunaongea.
Mi nafanya kupita tu jmn siongezi neno hapa
 
Wanamume wa Dar wala Ngisi na pweza, chips,

Back
Top Bottom