First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Oct 5, 2018 #1 Mnajua style hii ya kutongoza? Yaani kitu kinakuwa real, kinajulikana na jamii nzima, hadi wazazi wa pande zote
Mnajua style hii ya kutongoza? Yaani kitu kinakuwa real, kinajulikana na jamii nzima, hadi wazazi wa pande zote
C Ctech JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 447 Reaction score 829 Oct 5, 2018 #2 Asante kwa Hii kumbukumbu ya Picha Miaka ya 2000's ndo zilikuwa zangu hizi!
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,053 Oct 5, 2018 #3 Wa mikoani huwa mnashida sana kwenye haya mambo.... Huku Dar hayo mambo ni ya kawaida sana, haina haja ya kutangaza tangaza kwamba kila mtu ajue.... sometime unakuta mtu hata ana wa kumi, unafikiri inakuaje aki tangaza ? Haya twaachia huko mkoani...
Wa mikoani huwa mnashida sana kwenye haya mambo.... Huku Dar hayo mambo ni ya kawaida sana, haina haja ya kutangaza tangaza kwamba kila mtu ajue.... sometime unakuta mtu hata ana wa kumi, unafikiri inakuaje aki tangaza ? Haya twaachia huko mkoani...
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Oct 5, 2018 #4 Wengine tulikuwa tunaandika matusi kutukana mademu au waalimu,sijui TCRA ingekamata vipi maana hamna divice iliyotumika
Wengine tulikuwa tunaandika matusi kutukana mademu au waalimu,sijui TCRA ingekamata vipi maana hamna divice iliyotumika
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,055 Oct 6, 2018 #5 Niliwahi kuandikwa kwenye Mkonge kuwa nakula demu wa Hakimu aisee sitasahau. Nilikuwa darasa la 5 enzi hizo.
Niliwahi kuandikwa kwenye Mkonge kuwa nakula demu wa Hakimu aisee sitasahau. Nilikuwa darasa la 5 enzi hizo.
DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,943 Oct 6, 2018 #6 "Mwavita ni Malaya" I see
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,141 Oct 6, 2018 #7 Nifanye mambo ya ajabu kama haya? Enzi tunazaliwa tayari facetime app ilikuepo tauari kwenye iPhone. Tunatongoza mubashara
Nifanye mambo ya ajabu kama haya? Enzi tunazaliwa tayari facetime app ilikuepo tauari kwenye iPhone. Tunatongoza mubashara